Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

Mutuache wanaume tuwe huru kuoa wanawake tunaowataka, kwa ajili ya furaha na amani yetu
Upambanaji wenu utumieni kujenga maisha yenu, na watoto wenu
Sasa watu mnataka amani,
Badala ya kuoa wasiosoma ili mpate amani lakini mmekazana kuoa vichomi waliosoma.
Haki mnachokitafuta wanaume hamkijuiπŸ™†
 
Boss kutokana na harakati za kwao za Sasa mi ngumu sana maana unajua mwanamke anataka mume atoe kile mtu ndo maana hamna maana ya kuwa na mke mwenye kazi
Wapo wanawake ni msaada wanajielewa kabisa katikw kupambaniw familia zao assume Kuna rafiki yangu ana msharaha pungufu na mkewe yaani mkewe yupo taasisi kaajiriwa ana mwaka Sasa Ina msharahar mrefy kuliko

Ila anakwambia Kuna siku luku iliisha usiku na huwa anaweka 30k Kwa matumizi Yao akawa Hana kitu Kwa mpesa akamuomba mkewe anunue ila baadae lilikuwa deni amrudishie pesa take yeye mwanamke pesa zake amenunua gari Kwa kuziweka miezi minne tu kazini
Ndani huyo mwanaume huwa anasaidia kupiga deki na kupika?.
 
Huyo paragraph mwisho..... wanawake ubinafsi ndio asili yao. Nina mwanagu dereva wa bajaj,kuna siku alipiga kazi paragraph night kali, alichelewa kurudi home,halafu siku hiyo biashara haikuwa nzuri,so akachelewa kuamka mke wake alienda Sokoni. Sasa akawa anaitafuta simu yake ya mkononi, katafuta kaona ajaribu kuiangalia kabatini. Kufika kabatini akapekua upande wake, akaona acha ajaribu upande wa mke wake. Kupekua kakutana na 1.4m mwanamke kaificha.

Jamaa alichoka mke wake anarudi sokoni, mto alikojolea Pampas, inahitajika Pampas jamaa alimtizama akaondoka zake, yule mwanamke kwenda kabatini mwake ndipo akagundua mme wake aliziona zile hela. Baadae kwa aibu ndipo akamwambia hizo hela alipewa na baba yake miezi miwili iliyopita baada ya kuuza shamba.

Kwenye swala hela wanawake ni wabinafsi hakuna yaani chao chao,chako chao na ndio maana kuna wengine wanataka magolikipa ili mke awe na familia au kuna wengine mpaka wanawatoa kazini wake zao. Ila ukimpata mwanamke ambaye mpambanaji anajua role yake, anajua nini maaana ya maisha (yana kupanda na kushuka) ,basi utakuwa umepata kilicho chema.

Sasa umpate mpambanaji, ana elimu mixer 50/50 na plus ubinafsi waliokuwa nao, basi utakuwa imejitengenezea Kajehanum kako kadogo hapo nyumbani kwako.
Unapenda support ya mke
Na we unatoa support ya majukumu yake nyumbani?

Mana usilaumu wkt ukifika home mwanaume unageuka mdoli/mwinyi mkuu hugusi kitu

Ndoa kukubaliana/kusaidiana
Ukijigusa kutoa mkono majukumu ya nyumbani hata ye hatoona uzito siku unakwama kifedha
 
Kwanza hamna ndoa kama hiyo na haito kuwepo unajidanganya na kujitia moyo na hata ikiwepo haitodumu ,hiyo ndio nature eti mgawanyo wa majukumu ya nyumbani hamna ndoa kama hiyo.

Kwanza kitu kinachoitwa 50/50 hamna bali michongo ya watu kuzipiga hela za wazungu kwenye hizo NGO.

Utabisha utakataa mwanamke kwenye hela yake mbinafsi, kwenye nyumba mwanamke akiwa na 1mil mwanaume laki 3,nyumba ina laki tatu, 50/50 mnaipenda maeneo yote,ila ya kishagusa kipato chenu mnakuwa wa binafsi, hata mwanaume awe anafua na kuosha vyombo, ila ikija kwenye HELA YA MWANAMKE hamna 50/50.

Ndio maana wengine wanaamua kuoa mama wa nyumbani na kumfungulia biashara hapo home basi na kuna wengine wanafikia hatua ya kuwaachisha kazi wanawake sababu haoni msaada wa mke wake.

At the end of the day ndoa itadumu mkiishi kwa misingi yake kiasili, mwanaume atakula kwa jasho na kuwa KICHWA CHA FAMILIA,mwanamke wewe utakuwa unafuata muongozo wa mwanaume na si vinginevyo.

NB:Wapo wanawake watafutaji na wasomi ila wanajua nafasi na wajibu wao ni upi katika familia zao na mme wake na ukichunguza wengi wameshiba imani (kikristo au uislam) percent yao ni ndogo approximately equal zero na hawaendeshwi na upuuzi huu wa 50/50.
 
50/50 ni upuuzi sn chief
Bora umeliona hilo..

Ila raha ya kusaidiana na mume
Inategemea na jamaa mwenyewe
 
Kutokujiamini, na pia wasi wasi wa kupigwa matukio...
 
Mwanamke hajaumbiwa kumiliki . Ikitokea akamiliki uchumi atahitaji kutawala pia Kitu ambacho aliumbiwa mwanaume
 
Kwasababu mwanamke anaejiita mpambanaji na msomi hua na hulka ya kutaka kuishi kama mwanaume ndani ya nyumba.

Imeandikwa, mwanaume atamuoa mwanamke. Na sio mwanaume atamuoa mwanaume mwenzake.
Ndio maana umepata like nying kuliko mleta mada mnk umejibu [emoji817]
 
Hapana wanaoogopa ni wavulana....bali mwanaume anaoa mwanamke yeyote waliyekubaliana katika hilo..........

Mwanaume anatumia akili zaidi kuliko hisia na mvulana anatumia hisia zaidi kuliko akili Hali ya kuwa tumeagizwa tuishi nao kwa akili.....

Ukitambua maana ya uanaume wako na wajibu na thamani yako yako kama mwanaume basi unaweza ukamuoa mwanamke yeyote na mkaishi vyema kabisa.....

Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mvulana......

Uanaume au uvulana unapimwa na kutofautishwa kwa ukomavu na weledi wa namna unavyoyaendea au kuyashughulikia mambo yako......

Na ni rahisi kujua kama utatumia fahamu zako kwa usahihi....

Kwa sababu ataanzisha mapambano ndani ya nyumba.
 
Kwanza hamna ndoa kama hiyo na haito kuwepo unajidanganya na kujitia moyo na hata ikiwepo haitodumu ,hiyo ndio nature eti mgawanyo wa majukumu ya nyumbani hamna ndoa kama hiyo.

Kwanza kitu kinachoitwa 50/50 hamna bali michongo ya watu kuzipiga hela za wazungu kwenye hizo NGO.

Utabisha utakataa mwanamke kwenye hela yake mbinafsi, kwenye nyumba mwanamke akiwa na 1mil mwanaume laki 3,nyumba ina laki tatu, 50/50 mnaipenda maeneo yote,ila ya kishagusa kipato chenu mnakuwa wa binafsi, hata mwanaume awe anafua na kuosha vyombo, ila ikija kwenye HELA YA MWANAMKE hamna 50/50.

Ndio maana wengine wanaamua kuoa mama wa nyumbani na kumfungulia biashara hapo home basi na kuna wengine wanafikia hatua ya kuwaachisha kazi wanawake sababu haoni msaada wa mke wake.

At the end of the day ndoa itadumu mkiishi kwa misingi yake kiasili, mwanaume atakula kwa jasho na kuwa KICHWA CHA FAMILIA,mwanamke wewe utakuwa unafuata muongozo wa mwanaume na si vinginevyo.

NB:Wapo wanawake watafutaji na wasomi ila wanajua nafasi na wajibu wao ni upi katika familia zao na mme wake na ukichunguza wengi wameshiba imani (kikristo au uislam) percent yao ni ndogo approximately equal zero na hawaendeshwi na upuuzi huu wa 50/50.
Huko ulaya kwenyewe 50/50 hamna
 
Mkuu nisome vizuri nimeongelea mwanamke ambaye anatafuta pesa na anamsaidia mumewe majukumu hao ambao hawasaidii chochote lazima watimize majukumu yao kikamilifu! By the way oeni ambao hawajasoma wala hawana kazi wala biashara ili mjue moja kuwa mmeoa magolikipa basi kuliko kuoa hao ambao wanatafuta ila pesa zao hazionekani!
Hakuna ugolikipa mkuu, ku manage nyumba ni shughuli pevu sana.
 
Sasa kama hamtaki wanawake magolikipa ndiyo mjue kuwa wanawake wakifanya kazi lazima wakose muda wa kufanya kazi za nyumbani! Kwahiyo ni either mume asaidie au aletwe housegirl bila kelele za kwamba yeye ndiyo anafanya kila kitu!
 
Sina uhakika ila kama ni kweli basi huwa hivi.

Kama mwanamke anapambana, atashindwa kupambana na mimi?

Kama mwanamke anajielewa, ataweza kunielewa?
 
Back
Top Bottom