Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuli au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo
Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .
Je, tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw
Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa