Shida hao mnao waita wapambanaji na wenye kujitambua ukweli hawajitambui yaani ni wajinga na ni mizigo kuliko unavyo ona wewe.Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuli au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo
Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .
Je, tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw
Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa
Sisi tunapenda kuoa wanawake wenye dini na tabia njema, huwezi kumkuta mwanamke mwenye kujitambua akawa mpambanaji kwa maana hii unayo ikusudia wewe. Mwanamke mwenye kujitambua yeye hukaa nyumbani na kulea familia. Kinyume na hapo huyo hajitambui.
Shukrani.