BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Ngoja nicheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushaambiwa mpambanaji sasa nani anataka kuanzisha uwanja wa vita nyumbani kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nicheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushaambiwa mpambanaji sasa nani anataka kuanzisha uwanja wa vita nyumbani kwake.
Kupenda kwa Mwanamke = Kutii/Kumtii Mwanaume, hii ndivyo ilivyo kwa Makabila yoote dunianiWengi hapa watakuambia wanaume hawaoi wanawake wa hivyo sababu ni wajeuri sijui wajuaji na bla bla kibao! Ila ukweli ni kwamba wanawake wanaojielewa wengi hawataki kupelekeshwa!
Wanaume wengi wanataka wanawake ambao wataweza kuwapelekesha kwa kila kitu hata kwenye mambo ya kipuuzi! Kwa kifupi wanataka wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu"!
Wanataka wanawake ambao hata ukiwaonesha bia na ukawaambia hii ni juisi basi wasibishe wakubali na wakae kimya hata kama ni kweli wanaona hiyo ni bia! Kwao hao ndiyo wife material!
Mtu anataka aoe mke aliyesoma na anayetafuta pesa ili amsaidie majukumu yake ila asiingilie nafasi yake kitu ambacho kwa wanawake wengi hakiwezekani! Ukimuachia majukumu yako kubali kumuachia na nafasi yako!
Uhalisia ndiyo uko hivyo ukitaka kuoa mwanamke wa kukusaidia majukumu yako wakati yake humsaidii lazima tu utamuona ana dharau na kiburi! Hasa kama mwanaume mwenyewe ndiyo wale wale mliokunywa uji wa mgonjwa!
Mkuu nisome vizuri nimeongelea mwanamke ambaye anatafuta pesa na anamsaidia mumewe majukumu hao ambao hawasaidii chochote lazima watimize majukumu yao kikamilifu!!
Mkuu watoto wadogo lazy lazy kama hawa wanaolilia kuowa ili wanawake wawasaidie maisha hawawezi kukuelewa hawa dawa yao unaachana nao ili dunia iwafunze.Boss kutokana na harakati za kwao za Sasa mi ngumu sana maana unajua mwanamke anataka mume atoe kile mtu ndo maana hamna maana ya kuwa na mke mwenye kazi
Wapo wanawake ni msaada wanajielewa kabisa katikw kupambaniw familia zao assume Kuna rafiki yangu ana msharaha pungufu na mkewe yaani mkewe yupo taasisi kaajiriwa ana mwaka Sasa Ina msharahar mrefy kuliko
Ila anakwambia Kuna siku luku iliisha usiku na huwa anaweka 30k Kwa matumizi Yao akawa Hana kitu Kwa mpesa akamuomba mkewe anunue ila baadae lilikuwa deni amrudishie pesa take yeye mwanamke pesa zake amenunua gari Kwa kuziweka miezi minne tu kazini
Mwisho wa siku mwanamke mwenye hofu ya Mungu na tabia njema awe na pesa au asiwe na pesa atakuwa mke mwema and vice versa
🤣🤣Ngoja aingie kweny ndoa atajamba na omba iswe ya kikristo atakonda hao wanawake akili zao zinafananaMkuu watoto wadogo lazy lazy kama hawa wanaolilia kuowa ili wanawake wawasaidie maisha hawawezi kukuelewa hawa dawa yao unaachana nao dunia ili iwafunze.
Unatumia nguvu nyingi kwa kitu kisichojielewa.
Mwanamke atazaa Kwa uchunguSasa wewe mtu anatoka asubuhi anarudi jioni hapiki na mshahara anao mnono ila wewe ndo unalipa kila na gharama za maisha
Kuna umuhimu gani wa yeye kufanya kazi hata huko kazini wanawake wanazingua wengi kila siku mara mtoto anaumwa anaomba ruhusa, mara hajisikii vizuri akiwa maternity
Huo uhalisia wao na walivyoumbwa na mungu hawawezi kufanya za kushughulisha
Mfano kuna mdada alikuwa anafanya kazi kwa wahindi analipwa kama laki Saba kipind ichi Cha ukosefu ajira akapata mimba ila hakuwa na mkataba akajifungua mwezi uliopita hawakumuona karibia mwezi tangu ajifungue kazi haziendi Kwa section yake wamemtimua wakipiga mahesabu atakaa miezi Saba mbele nyumbani wakaona waajiri kijana mwingine wa kiume
Point imeisha iyoMwanamke atazaa Kwa uchungu
Mwanaume atatafuta Kwa jasho
Mimi hao ndiyo nataka...Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuli au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo
Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .
Je, tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw
Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa
Mwanamke ambaye haishi kwa wazazi wake au kuwa chini ya walezi wake hafai kuoa.Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuli au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo
Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .
Je, tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw
Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa
Pole yake kuna mke na mwanamke, ila siwezi kushangaa kama umeishi kusini eg mtwara mke akitoa matumizi nyumbani lazima Mme ulipe, kwahiyo ni tamaduni zao, wengine hatupo hivyo, wakati mwingine hiyo hiyo ya Mme mke anaweza akawa anabana/kutunza siku Mme hana inatumika hiyo.Boss kutokana na harakati za kwao za Sasa mi ngumu sana maana unajua mwanamke anataka mume atoe kile mtu ndo maana hamna maana ya kuwa na mke mwenye kazi
Wapo wanawake ni msaada wanajielewa kabisa katikw kupambaniw familia zao assume Kuna rafiki yangu ana msharaha pungufu na mkewe yaani mkewe yupo taasisi kaajiriwa ana mwaka Sasa Ina msharahar mrefy kuliko
Ila anakwambia Kuna siku luku iliisha usiku na huwa anaweka 30k Kwa matumizi Yao akawa Hana kitu Kwa mpesa akamuomba mkewe anunue ila baadae lilikuwa deni amrudishie pesa take yeye mwanamke pesa zake amenunua gari Kwa kuziweka miezi minne tu kazini
Hatuogopi, wapambanaji wengi wanatokaga kwenye mstari, wana viburi, hawana upendo, hawana mahaba, unyenyekevi na utii kama wake.Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuli au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo
Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .
Je, tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw
Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa
Na wanaume wapunguze kulia lia mwanaume mzima mwili nyumba lakini hawezi kusimama kama mwanaume, wengi siku hizi malezi yafamilia hayawapi ujasiri zakutosha wengi mnakuwa watoto wa Mama , Baba zenu wakiwaterekeza basi nikulia lia na Mama zenu, sasa nyie mnao oa kwasasa fundisheni vijana wenu kuwa wanaume kwenye nyumba zao, eti mwingine anamkimbia mkewe eti mkorofi anarudi nyumbani saa 8 akute kalala haa haa haa aibu hii[emoji3][emoji3][emoji3]Mwanamke atazaa Kwa uchungu
Mwanaume atatafuta Kwa jasho
Kasoma kapata kazi mkoa mwingine ataishi vipi kwa wazazi au walezi? Oeni wale waliofeli darasa saba mbona wapo wengi sana tena huko vijijini ndiyo wamejaa nendeni huko.Mwanamke ambaye haishi kwa wazazi wake au kuwa chini ya walezi wake hafai kuoa.
😂😂😂imebidi nicheke naona umeamua kuwachana😁😁Na wanaume wapunguze kulia lia mwanaume mzima mwili nyumba lakini hawezi kusimama kama mwanaume, wengi siku hizi malezi yafamilia hayawapi ujasiri zakutosha wengi mnakuwa watoto wa Mama , Baba zenu wakiwaterekeza basi nikulia lia na Mama zenu, sasa nyie mnao oa kwasasa fundisheni vijana wenu kuwa wanaume kwenye nyumba zao, eti mwingine anamkimbia mkewe eti mkorofi anarudi nyumbani saa 8 akute kalala haa haa haa aibu hii[emoji3][emoji3][emoji3]
Haina tofauti pia na mwanaume mwenye kulia lia asaidiwe maisha.Mwanamke ambaye haishi kwa wazazi wake au kuwa chini ya walezi wake hafai kuoa.