Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Mnanyooshewa vidole kwasababu
1. Only wazee wenye mtonyo ndio mnachagua kuolewa nao

2.Wazee mafukara mnawaambiaga "ujana wako ukale wapi?" au " Nitakupeleka wapi na uzee huo?"

3.Tunaamini kibinadamu gari mbovu au iliyochoka haiwezi kuivuta gari nzima.

Finally tunaamini sio mapenzi ni mapesa tuu..
 
Mgekuwa mnaolewa na wazee maskini hakuna ambaye angewahoji ila mnatafuta wazee wenye pesa mnajipendekeza Ili Mzee ameze kidogo apige mzigo nasikia wengine mnawapa Hadi kule kwingine Ili wanogewe waowe
 
Dunia hii utasemwa tu chochote utachofanya. Hata ukiolewa na age mate wako utaambiwa si ungetafuta alokuzidi kidogo!
 
Kwan na wewe wamekunyooshea vidole?
Vumilia maana ata vijana wanaotoka na wamama wakubwa kuwazid ninyi ndio wakwanza kuwanyooshea vidole na kuwaita majina ya ajabu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijana wanatupiga matukio na hela pia hakuna.
Wanakupa vidonda vya tumbo na presha pesa pia hakuna.
Bora tubaki nao wapiganaji wa vita vya pili vya dunia.
 
We ukiamua kuolewa olewa tu usituchoshe, si twajua motivation ya wewe kuolewa sio kupenda! Regardless, Ni maisha yako!
 
hata mimi kuna bibi alikuwa ananitania na kuniita mumewangu, ana wajukuu, bibi ana mshepu huyo na matako makubwa anayo. Mpaka leo huwa namla.

Toka nianze kula vischana sijawai kutana na mtamu kama huyu bibi. Nikipitisha wiki lazma anitafute nikampe raha.

Sema wabongo wambea sana, tungeoana anizalie mapacha.
 
Mgekuwa mnaolewa na wazee maskini hakuna ambaye angewahoji ila mnatafuta wazee wenye pesa mnajipendekeza Ili Mzee ameze kidogo apige mzigo nasikia wengine mnawapa Hadi kule kwingine Ili wanogewe waowe
na kuna vizee vijanja kweli, siku kijue kinapewa huko na mwanamke, kina mnywea na kupaka mkongo,

kinachofuata ni mzee kuchomoka na puru na kulichomoa puru lote la mtu nje na kumbwaga mavi yote nje mammmae.
 
🤣🤣🤣🤣😂😂😂Nimecheka sana, Hawa mabinti wakigundua Mzee anapesa atapewa Hadi maini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…