Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Si useme tu kwamba una mwanamke wa kitanga
 
Saint Anne
 
Ukiwa unaoa usisite kunialika tafadhali
Wee utasubiri mpaka mwisho wa dunia🤣🤣🤣🤣
Labda useme nikualike siku nikiwa nagegeda...hiyo ndani ya wiki hii tuu utakuwa ulipata mwaliko🤣🤣🤣🤣
 
Wee utasubiri mpaka mwisho wa dunia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda useme nikualike siku nikiwa nagegeda...hiyo ndani ya wiki hii tuu utakuwa ulipata mwaliko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa bwana nilijua tu[emoji23][emoji23]
 
Wee utasubiri mpaka mwisho wa dunia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda useme nikualike siku nikiwa nagegeda...hiyo ndani ya wiki hii tuu utakuwa ulipata mwaliko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili yako,,,,yakutosha mwenyewe
 
Mafunzo wanayopata inawafanya wawe vile lakini sisi upande wa dini yetu hatuna hiki kitu
 
Wanawake wa Kiislamu hata wakiwa vyuoni huko Huwa wanafundishwa Mambo ya Kutunza Waume zao, hasa ukute Familia yao wengi wao ni Waislam, kitu kinachokosekana kwa Hawa Wa Kikristu maana Kwao ni kama Dhambi kuzungumza mambo ya Ndani.

Ila Mzee Kumbuka Pia Kwenye kutunza Mume Waganga wanahusika Sana. Wanawake hao pia Kwa Waganga hawaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…