Nazani ujasoma vizuri uzi wangu sijasema nimedate na mwanamke wa kikristo mmojaUnaongelea madhaifu ya wanawake wa kikristo alafu hapo hapo unasema ume date na mmoja tu, ss hapo nguvu ya kukosoa unaitoa wapi?
Ok, kwa experience yng naona wanawake wengi wa ss hawana utofauti mkubwa japokuwa kwa ninavyoona mm wanawake wengi wa kiislamu huwa ni waongo, wasio na mapenzi ya dhati na wabinafsi. Hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wengi wao wanatokea familia duni hivyo kulazimika kutokuwa na upendo.
Njaa ni mbaya sn, na hii ndiyo inayosabanisha waafrica wengi kutokuwa na mapenzi ya dhati.
Wewe bado mtoto mdogo hutoshi kuweka hitimisho la wanawake, endelea utajionea mwenyewe.Nazani ujasoma vizuri uzi wangu sijasema nimedate na mwanamke wa kikristo mmoja
Kazi ya kungwi hiyo ndio mana napenda wanawake walio fundwa.Hiv kweli Unaweza kumfundisha mtu wako nifika nyumbani uwe una nivua nguo, uwe unalisha?
Mafunzo yapi bwana weee. Mafunzo hayo yanategemea na familia hata makabila ila sio diniMafunzo wanayopata inawafanya wawe vile lakini sisi upande wa dini yetu hatuna hiki kitu
So true...Na wengi wao ni wavivu na wacheza ngoma tu.Unaongelea madhaifu ya wanawake wa kikristo alafu hapo hapo unasema ume date na mmoja tu, ss hapo nguvu ya kukosoa unaitoa wapi?
Ok, kwa experience yng naona wanawake wengi wa ss hawana utofauti mkubwa japokuwa kwa ninavyoona mm wanawake wengi wa kiislamu huwa ni waongo, wasio na mapenzi ya dhati na wabinafsi. Hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wengi wao wanatokea familia duni hivyo kulazimika kutokuwa na upendo.
Njaa ni mbaya sn, na hii ndiyo inayosabanisha waafrica wengi kutokuwa na mapenzi ya dhati.
Hawakupigi vizinga labda kwa sababu hivyo vizinga venyewe huna.Angalia hata level ya mahusiano ya kimapenzi huko kwenye ndoa umeenda mbali wamewaacha Sana wanawake wakikristo kwanza wengi wao sio wapigaji wa vizinga
Ili upigwe vizinga unatakiwa uwe na kipato gani? Ngoja nikupe elimu dada yangu ukiwa na tabia ya kupiga vizinga Sana hajalishi una date na mwenye kipato kiasi gani na ndio maana wanapiga vizinga kutokana na kipato ulichonacho narudia mademu wa kislamu Wana staha Sana na wamefundwa na kufundika wengi wao ndio maana hawapigi vizinga vya kipumbavu kama wakikristo ukishamuhudumia vizuri haitaji kukupiga vizinga labda tu itokee anashida sensitive lakini mademu wakikristo utawauhudumia na vizinga watakupiga kama kawaawakupigi vizinga labda kwa sababu hivyo vizinga venyewe huna.
Sawa, hongera kwa kuwajua mademu wote wa kiislamu na kikristo.Ili upigwe vizinga unatakiwa uwe na kipato gani? Ngoja nikupe elimu dada yangu ukiwa na tabia ya kupiga vizinga Sana hajalishi una date na mwenye kipato kiasi gani na ndio maana wanapiga vizinga kutokana na kipato ulichonacho narudia mademu wa kislamu Wana staha Sana na wamefundwa na kufundika wengi wao ndio maana hawapigi vizinga vya kipumbavu kama wakikristo ukishamuhudumia vizuri haitaji kukupiga vizinga labda tu itokee anashida sensitive lakini mademu wakikristo utawauhudumia na vizinga watakupiga kama kawa
Wakislamu Wana vitu kama viwili hivi sensitive Sana kwenye mahusiano yoyote ambavyo sisi Wanaume tunapenda ndio wamezidi nyinyiHawakupigi vizinga labda kwa sababu hivyo vizinga venyewe huna.
Ila nawajua sana wadada wa kiislam, wana upendo yes, na unafiki pia wanao sana tu so anaweza ku fake so much kwenye mapenzi vilevile ..
Besides, point iko pale pale , ni tabia ya mtu.Be it Mkristo au muislam.Tena wakristo wengi wavumilivu and wanasemehe..Muislamu akikochoka anaomba talaka hapo hapo.
Mbona hayo yote nafanya na zaidi [emoji23][emoji23][emoji23] na siyo muislamu.Wakislamu Wana vitu kama viwili hivi sensitive Sana kwenye mahusiano yoyote ambavyo sisi Wanaume tunapenda ndio wamezidi nyinyi
1. Mahaba kwenye Hili eneo mmepigwa gape kubwa Sana wao kwenye mahaba wameenda extra mile ambavyo nyinyi hamfanyi na wala usiwe mbishi kwenye Hili
Tunavuliwa hadi nguo tukishatoka kwenye mishe zetu na hapa sio kwenye kufanya sex nyinyi mnaweza? Tunaogeshwa nyinyi mnafanya? Tunalishwa nyinyi mnafanya? Tunafuliwa nguo zetu na si kwamba tunaomba tufanyiwe hivyo ni wao wenyewe ndio wanaamua Tena kwenye level ya mahusiano ya kimapenzi tu n.k
2.Wavumilivu Hili mmezidiwa hasa kwenye eneo moja tu mwanamke wakislamu anaweza kumvulia mwanaume hata anapokuwa amefulia au uchumi kuyumba kwenye kipindi fulani na pia wanawake wakislamu anaweza hata kuolewa na mwanaume mwenye kipato kidogo ikiwa wanapendana ili nimeona mitaa Mingi Sana unakuta demu ni mkali kweli kweli lakini kaolewa na mtu tu ambaye anauza juice za miwa kwa budget mdogo.
Huo Utafiti wako hujakidhi vigezo wanawake wanane tu umehitimisha Utafiti,hata hivyo jitahidi kuacha uzinzi kama unataka mahaba ya kweli funga ndoa.Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao
Usimind Sana lengo kuu ni kuboresha na wengine kujifunza tupo hapa kujenga nyumba moja na si kufanya mashindanoSawa, hongera kwa kuwajua mademu wote wa kiislamu na kikristo.
Bahati nzuri niliyeleta uzi ni mkristo angekuwa ni mslamu wangesema anajipakulia manyama so hakuna haja ya kubishana badala yake tubishane kwa hoja na Huu uzi uwe sehemu ya watu kujifunza na kuongeza ujuzi ili tujenge mahusiano ya kimapenzi imara ambayo yatasaidia kujenga ndoa imara.Wewe ni mslamu ebu tujibuni nini kinawafanya muwe na mahaba na wanyenyekevu kwa mwanaume?Naona wagalatia mmepaniki ndo hivyo mtake msitake cheupe lazima kiwe cheupe na cheusi lazima kiwe cheusi😬
Mbona nimeisikia kuna mtu kasema wakiwa viuoni wanakuwa wanafundishwaMafunzo yapi bwana weee. Mafunzo hayo yanategemea na familia hata makabila ila sio dini
Ukiambiwa Tanzania ni nchi maskini haimanishi hakuna matajiri bali wanachozungumzia percentage kubwa hapo so nilichozungumzia kwa kuangalia kiasi kikubwa wapo hivyo kwa zingatia kigezo Cha kwanza kupitia mahusiano yangu na wengine ambao wanaweza wakawa marafiki wenzangu au kwenye mijadala ya kiumeMbona hayo yote nafanya na zaidi [emoji23][emoji23][emoji23] na siyo muislamu.
Acha kukariri wewe.
Mtoto mdogo unamfundishaje habari za mambo ya ndoa na mahusiano. Use your common senseMbona nimeisikia kuna mtu kasema wakiwa viuoni wanakuwa wanafundishwa
Ulikua unataka tu kuponda dini za watu. Madrasa ipi inayofundisha mambo ya chumbani? Hiyo ni madrasa au kitchen party. Hapo hata uislam wenyewe huusifii bali unafanya uonekane tofauti maana mambo ya uislam unayahusisha na uzinzi wako.Wakislamu Wana vitu kama viwili hivi sensitive Sana kwenye mahusiano yoyote ambavyo sisi Wanaume tunapenda ndio wamezidi nyinyi
1. Mahaba kwenye Hili eneo mmepigwa gape kubwa Sana wao kwenye mahaba wameenda extra mile ambavyo nyinyi hamfanyi na wala usiwe mbishi kwenye Hili
Tunavuliwa hadi nguo tukishatoka kwenye mishe zetu na hapa sio kwenye kufanya sex nyinyi mnaweza? Tunaogeshwa nyinyi mnafanya? Tunalishwa nyinyi mnafanya? Tunafuliwa nguo zetu na si kwamba tunaomba tufanyiwe hivyo ni wao wenyewe ndio wanaamua Tena kwenye level ya mahusiano ya kimapenzi tu n.k
2.Wavumilivu Hili mmezidiwa hasa kwenye eneo moja tu mwanamke wakislamu anaweza kumvulia mwanaume hata anapokuwa amefulia au uchumi kuyumba kwenye kipindi fulani na pia wanawake wakislamu anaweza hata kuolewa na mwanaume mwenye kipato kidogo ikiwa wanapendana ili nimeona mitaa Mingi Sana unakuta demu ni mkali kweli kweli lakini kaolewa na mtu tu ambaye anauza juice za miwa kwa budget mdogo.
DeepPond una Maoni gani kuhusu hili