Hii mada iahajadiliwa sana humu..ila huo ndio ukweli..upande wa wakristo wasichana hufundishwa 50/50 wakati mabinti wa wavaa kobazi hufundishwa kuwa submissive..kuobey kila kitu kutoka kwa mumewe..inagawa nahisi ni kinafiki sana mana wanaliwa sana nje na wnaachika kila uchwao.
#MaendeleoHayanaChama
Upo sahihi hata mimi nimeliona hili mademu wakislamu ni Wasafi sanaAnacho sema mdau ni kweli wanawake wa kikristo ni wabishi na ni vigumu sana kuwafundisha na lingine ni usafi wa ndani ya mwili wanacho jua ni usafi wa nje tu na ndio maana wengi wamebandika kucha za bandia sasa unajiuliza tu mtu ameweka kucha ndefu za bandia anajisafishaje? Kwenye k yake??
Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Mfundishe mwanamke wako, muelekeze ku behave venye unapenda.Hiyo kubadili dini siwezi kabisa na wala haitatokea
Sasa anajua kuwa dudu ni lake peke ake alaf mwisho wa siku unamnyanganya unalipeleka kwingne yeye unamtosa wakat kaisha wekeza kwako kihisia na kimalengoHili neno kuchezea ni upungufu wa uelewa.
Hivi wanawake huwa hawafurahii tendo?
Kama wanafurahia kwanini inaonekana kusex naye ni kumchezea?
Siku zote ninawashauri mabinti wenye mtazamo kama wako.Sasa anajua kuwa dudu ni lake peke ake alaf mwisho wa siku unamnyanganya unalipeleka kwingne yeye unamtosa wakat kaisha wekeza kwako kihisia na kimalengo
Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.
Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.
Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.
Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.
Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.
Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Hiv kweli Unaweza kumfundisha mtu wako nifika nyumbani uwe una nivua nguo, uwe unalisha?Mfundishe mwanamke wako, muelekeze ku behave venye unapenda.
Kama amelelewa vyema atakuelewa, kama ni feminist utachora chini 🤣🤣
Sijaelewa unataka kuskia nn exactly!?sasa hapa umecomment chochote au umeshangaa ?, tunataka kusikia kutoka kwenu ili tuokea watu
Uko sahihiSijaelewa unataka kuskia nn exactly!?
Ila mm naamini ni malezi ya mtu wala sio swala la udini.
Kuna wakristu mbona tuna mahaba kama yote[emoji3059]sijui sasa yeye hao wakristu wake aliokutana nao!.
Asubuhi jioni wanaachikaNdoa za hawa wadada wa kiislamu zinadumu kwa wastani wa miaka mingapi?
Sijabadili na wala sinampango wakubadili na wala sitabadili ila nilichoongea ni reality nilichokiona kwenye mahusiano yangu na ndio maana nikaja na hili swali kama unaona nimekukwaza nisamehe ila akibadili kile nilichoongea ifike kipindi tuongee kwa njia yakujenga vitu ninavyofanyiwa na mademu wa kislamu natamani nivione kwa mademu wa kikristoSema umekubali kuslimu kiroboto wewe [emoji851]ila ni udhaifu sana kufuata dini ya Mwanamke
Katika wanawake 5 wa kiislamu unaowajua wangapi ndoa zao bado zipo hai?Asubuhi jioni wanaachika
Na wanao ongoza kuomba ruhusa ya kwenda ngomani kila weekend ni hao hao pia. Unajuwa wanafuataga nini huko ngomani? Kijana ukikua utajua walimwengu walivyo.Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.
Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.
Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.
Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.
Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.
Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Hili ni suala la kurekebishana tu ila watu wanaongozwa na ushabiki wa kidini zaidiWatu wanachuki hatari,,,,,wamesimamia kuachika kila siku[emoji23]
Hao waliochika mnawaachaga nyie???
Kila mmoja ashinde na mechi yake[emoji1476]
Ushabiki was ki dini haufai.Hili ni suala la kurekebishana tu ila watu wanaongozwa ushabiki wa kidini zaidi