Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Maandishi yako yanaakisi kilicho kifuani kwako unapomuona Muislam
Hii mada iahajadiliwa sana humu..ila huo ndio ukweli..upande wa wakristo wasichana hufundishwa 50/50 wakati mabinti wa wavaa kobazi hufundishwa kuwa submissive..kuobey kila kitu kutoka kwa mumewe..inagawa nahisi ni kinafiki sana mana wanaliwa sana nje na wnaachika kila uchwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Anacho sema mdau ni kweli wanawake wa kikristo ni wabishi na ni vigumu sana kuwafundisha na lingine ni usafi wa ndani ya mwili wanacho jua ni usafi wa nje tu na ndio maana wengi wamebandika kucha za bandia sasa unajiuliza tu mtu ameweka kucha ndefu za bandia anajisafishaje? Kwenye k yake??

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi hata mimi nimeliona hili mademu wakislamu ni Wasafi sana
 
Sasa anajua kuwa dudu ni lake peke ake alaf mwisho wa siku unamnyanganya unalipeleka kwingne yeye unamtosa wakat kaisha wekeza kwako kihisia na kimalengo
Siku zote ninawashauri mabinti wenye mtazamo kama wako.
Unapoanza uhusiano na mtu usisite kutaka kujua hatima yenu ktk huo uhusiano..
Kuwa ni urafiki tu au mtaoana..
Wengi wenu huwa hamhoji mnajuaga kwa vile mmevuana nguo ndio tayari ni agano la kuoana.
Kuna mtu ni mzuri kwa urafiki pekeee..
Lakini kuna mtu anafaa kuwa baba wa familia haya uyaelewe.
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese

Sema umekubali kuslimu kiroboto wewe [emoji851]ila ni udhaifu sana kufuata dini ya Mwanamke
 
Sema umekubali kuslimu kiroboto wewe [emoji851]ila ni udhaifu sana kufuata dini ya Mwanamke
Sijabadili na wala sinampango wakubadili na wala sitabadili ila nilichoongea ni reality nilichokiona kwenye mahusiano yangu na ndio maana nikaja na hili swali kama unaona nimekukwaza nisamehe ila akibadili kile nilichoongea ifike kipindi tuongee kwa njia yakujenga vitu ninavyofanyiwa na mademu wa kislamu natamani nivione kwa mademu wa kikristo
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Na wanao ongoza kuomba ruhusa ya kwenda ngomani kila weekend ni hao hao pia. Unajuwa wanafuataga nini huko ngomani? Kijana ukikua utajua walimwengu walivyo.
 
Uislamu unafundisha UTU,HURUMA AMANI na mengineyo,lakini pia unafundisha kutafuta rizki baada ya ibada na katika hili unafundisha kuwa hutapata zaidi ya rizki yako isiyo ya kulazimisha na inafundisha kuwa kuna kukosa na hivyo kuna kuvumilia.
Angalia hata Taifa likiongozwa na Muislamu huwa kuna great sense of humanity(utu)kuliko imani nyingine,lakini pia Upwani una ubinadamu sana kwakuwa PWANI zote za Afrika mashariki zimesheni uislamu na hata lafudhi za huko siyo za kikax kama kule KANDA MAALUMU au eneo lote la kanda ya TITI na maeneo ya bara ambayo ni ya mbali na pwani.Huko hata kuua ni kawaida tu,hata Muziki wa Pwani au Mwambao ni Laini wenye kuhakisi mapenzi na mahaba zaidi.
 
Back
Top Bottom