Maandishi yako yanaakisi kilicho kifuani kwako unapomuona Muislam
Hii mada iahajadiliwa sana humu..ila huo ndio ukweli..upande wa wakristo wasichana hufundishwa 50/50 wakati mabinti wa wavaa kobazi hufundishwa kuwa submissive..kuobey kila kitu kutoka kwa mumewe..inagawa nahisi ni kinafiki sana mana wanaliwa sana nje na wnaachika kila uchwao.
#MaendeleoHayanaChama