Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Ni jeuri ya fedha tu, wanaona wana uwezo wa kutunza watoto peke yao. Wanazaa na yeyote wanayempenda hata kama ni mume wa mtu. Kila mtoto ana baba yake. Watoto wanatia huruma kwa kuita kila mtu baba maana baba halisi hawapo machoni pao. Mtoto wa kike akikua naye ataishi style kama mama yake, hataona umuhimu wa kuolewa na kuishi pamoja na mke wake
 
Habari wanajukwaa,

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
12ndoa
12taraka
[emoji20][emoji846][emoji4] Duu
 
Ushasema hela😅with money 💷 comes power,so hapa mwanaume in most cases atahitajika kusubmit kwa woman,kitu ambayo a real man can't do but a marioo can do happily 😅😅
 
Habari wanajukwaa,

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Huwa wanakiburi sana kwa sababu ya pesa zao, mwanamke wa namna hiyo, huwezi ukafuliwa, kupikiwa inakuwa tabu, hata unyumba kunyimwa inakuwa sio shidaaana hujiona kama ni mabosi, tena usiombe ukapata mwenye kacheo kazini kwake anahamishia kacheo nyumbani. Kazi kwako
 
Habari wanajukwaa,

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Kama hujajua sasa wanawake wengi wanapenda uhuru toka kitambo tu sema mifumo iliojengeka kiasili ilikuwa inazuia hili kwakuwa waliona madhara ya kumpa mwanamke uhuru ni kukaribisha uharibifu na ndio maana mfumo dume ulikuwa umetamalaki na ulitumika kuendesha na kusimamia familia nyingi miaka ile ya mababu zetu.

Hali iliopo sasa ni kwamba wanawake wamepewa ule uhuru ambao walikuwa wanaukosa wa kufanya wanavyojiskia. Kusoma, kufanya kazi na kujiendesha bila mipaka.Kimsingi mwanamke akishajiweza kiuchumi ni ngumu sana kuwa submissive.

Wako wanawake wachache ambao wamesoma na wana uchumi wao ila wana hulka za kike kiasili (submsissive) ambao hupenda wanaume na kuthamini uwepo wao kama viongozi. Hawa ndio huolewa na hujiskia huru zaidi kutii waume zao na wanaweza kudumu nao kwa kitambo kirefu katika maisha regardless ya changamoto zote.

Kundi lingine ndio wale ambao wao sio submissive huona wanaume kama kiburudisho. Mwanamke wa hivi hawezi kudumu na mwanaume isipokuwa watachezeana kwa muda flani akimkinai anamtaftia sababu anam dump anaendelea na mwengine au anaachwa kutokana na tabia zake za kiburi na ujeuri sababu ana pesa za kujimudu kimaisha, ana kazi nzuri so hataki kuwa kwenye control ya mwanaume. Hawa ndio wapo wengi sikuhizi na ndio maana hata wakiolewa huwa wanakaa mda mfupi kabla ya kukamatwa na case za infidelity. Akishatoka kwenye ndoa anakuwa free kuzagamuliwa hovyo na ndio unakuwa mtindo wake wa maisha. Anakuwa anahonga sana ili kupata type flani ya vijana wawe wapenzi ndio inaenda hivyo mwisho wanatupana cycle inaanza upya.
 
Back
Top Bottom