Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?


Kibantu raha hapa unasema, huyu jamaa alieleta hii mada ni mshamba, eti kwahiyo tuache kuongea kisambaa kwamba tusionekane washamba, kisambaa naongea popote na hakuna mtu wa hapo kuniemeza sijaelewa, kama vipi wahame watuache na nchi yetu waende hata somalia,
 
KIZAZ KICHAF KINAANZA MPONDA ALIPAMBANA TUCHAT HUMU KUJUANA MAKABILA , HUENDA HUJATEMBEA EAST AFRICA AU UMETEMBEA ILA AKIL YAKO FUPI KUONA WANAVYOBAGUAANA KISA LUGHA ZA MAKABILA , NCHI X KWENY INTERVIEW MTU ALISALIMIWA KWA LUGHA YA KITESO AKAKAA KIMYA WAKAMWAMBIA TUTAKUPIGIA SIMU IMETOKA HIYO
 
Yadahikana uyu mbwanga ni mnyika mweikaa na kughoshoa ndima uku kwetu koongoi! Ushe akitiona tashimwea kishambaa, ataingiwa ni wizu!

Hangi ana mbina ani uyu! Ningeteia akweikaa, ningembasha nakio ili nimloghe!
 
Wasambaa wamejaa hiace za Kikombero/Njiro dereva msambaa konda Msambaa hapa mwisho wa lami wanapogeuzia ndio mitaa yangu ni kisambaa kwa kwenda mbele...hata wakiwa na abiria wao wanatupa kisambaa mwanzo mwisho tena muda mwingine wanawasema watu wanaosikia...wanatamani wapige debe kwa kisambaa ni vile hatutaelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…