LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985).
Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja).
Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi.
Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi au shughuli zinazo waingizia kipato ila hamna assets halisi (real property)
Sababu ni nini?
Point huwaga ni zile zile siku zote; 👇👇👇👇👇👇👇👇
1. Lack of leadership (Poor management of time and resources)
2. Poor infrastructure.
3. Poor social services.
4. Lack of unity.
Etc.
Anyways inayo wahusu nyie ni hiyo ya kwanza.
Matumizi mabaya ya pesa na muda.
Kukosa vipaumbele au kuwa na vipaumbele ambavyo havina tija.
Kwa mfano mnatumia pesa zenu kununua " assets" ambazo sio asset halisi.
Kwa mfano unalipa mamilioni ya pesa mtoto wako asome kwenye shule ya English Medium na una watoto lets say watatu.
Wakati huo huo unaishi kwenye nyumba ya kupanga.
Huna hata kiwanja wala shamba wala akiba ya hela. Unaishi kwa stress ya ada. Muda wote unawaza kulipa ada. Kwanini usiwe masikini?
Kwani umezaliwa ili uje ujistress kulipa ada?
Kwa mwaka unatumia karibu milioni kumi kusomesha watoto wako.
Kwa miaka kumi na 2 unakuwa umetumia kiasi gani?
Na watoto wako ukiwasomesha shule za private kuanzia primary, wakifika chuo hakuna mkopo. Utatakiwa kuwapa boom wewe.
Kwanini usiwe masikini?
Unajistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums wakati shule za bure zipo na wewe unajijua uwezo wako mdogo. Are u sick?
Kwani umeambiwa mtoto wako akisoma Kayumba ndio Chuo Kikuu hafiki? Au ndio hatokuja kuwa na maisha mazuri.?
Au ndo wewe mliokuwaga mnasema " EDUCATION IS BETTER THAN MONEY? "
Kwa maana ya kwamba yani hiyo pesa yako unayo peleka kwenye shule ya ENGLISH MEDIUM, haina thamani, ila hicho anacho enda kukipata mtoto wako kwenye shule hiyo ndio kina thamani.
Is that what u think bro? Think again bro, you are failing it big time
Anyways keshokutwa shule zinafunguliwa. Mr.Mugetta wa Mugetta English Medium Nursery and Primary School, anataka ada yake. Hataki maelezo.
Kuna jamaa yangu mmoja bado yupo brainwashed na hii " brand" ya English Medium, Kaja kuomba nimkopeshe laki 5 alipe ada ya mtoto wake atanirudishia mwisho wa mwezi.
Nimemwambia, kamata watoto wako watoe English Mediums, peleka Kayumba haraka sana.
Laki 5 ya kukukopesha ninayo lakini siwezi kumpa mtu hela yangu akaitupe jalalani hata kama namkopesha.
Afadhali angesema hata amefiwa ningempatia hela bila hata kumdai.
Nimemwambia aingie Jf asome nyuzi za mtu anaitwa Likud zimfungue akili kuhusu shule za English Mediums.
Kama hawezi aache watoto wake wake nyumbani ili aone "uchungu" akatafute hela anapopajua akawalipie watoto wake ada, halafu wakifikisha miaka 16, wa kike anakuwa na x boyfriends watatu na wa kiume anakuwa anatiana bila kutumia kinga (watoto wa siku hizi hawaogopi Ukimwi)
Leo Jumapili wacha niende kijijini kwetu Homboza. Nitapita Chanika pale Butiama kwa sirro kuangalia mechi ya Makolo..
Mnaojistress kutafuta mamilioni kulipa ada shule za Ems. Hongereni sana kwa stress