Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

Yupo mmoja kawapeleka mpaka India mwishowe mmoja karudi kuuza duka la nyumbani mwingine anasubiri ajira🙄
 
Kama una uwezo ni vizuri asome kwenye hizo English medium ina mjengea
mtoto confidence na uelewa zaidi ya hizi shule nyingine.

Wakati unasomesha pia jiandalie maisha yako ya kustaafu uwe na via asset viwili vitatu
ndio vitawasadi na hao watoto baadae

Kama huna uwezo wa kuwapeleka English Medium wakazanie kwenye hizo
za kawaida watafanikiwa pia.
 
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Sasa hivi hamna ardhi ya kuokota ila zamani watu walikua wanajiokotea tu ardhi
Zipo ? Njombe watu wameokota ardhi.Kuna jamaa angu alijichukulia milima Chunya, hana mitaji ya kuchimba.
Namna nyingine ya kuokota ni kununua kwa bei chee. Hii ni songea , njombe, moro, pwani, kigoma, katavi.
Njombe milioni 2 unapata mlima.
 
Back
Top Bottom