uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Kwa hili sikatai ukisoma hadi chuo elimu huwa inatutenga mno na mbinu za uzalishaji Sasa ukimaliza usipate ajira ya kile umesomea kurudi kujitafuta huwa ni mtihani mkubwa sanaUsemacho kinawezekana ila ni graduates wachache sana wanao toboa kimaisha. Nahisi elimu wanayo pata shule ni kama huwa inawaondolea uwezo wa kutumia common sense
Na hapa ndio wasomi hujikuta wako desperate
Lakini pia being caught in a dream Kila siku unaota utapata ajira ajira ajira mwisho umri unasonga nguvu zinapungua na creativity inashuka hii huwakuta na watu wanaoamini kwenye vipaji kama soka na mziki
So kujipata ukisoma ni kazi sana