Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kazi kweli kweluMzazi anajistres kulipa mamilioni ili mtoto wake ajue kiingereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweluMzazi anajistres kulipa mamilioni ili mtoto wake ajue kiingereza
Nenda na wewe huko Babati Maporini ukaokote ardhi ipo.Zamani watu walikua wanarithi ardhi sababu ilikua ni bure tu wanajiokotea Sasa hivi ardhi ni kisanga
Sasa hivi hamna ardhi ya kuokota ila zamani watu walikua wanajiokotea tu ardhiNenda na wewe huko Babati Maporini ukaokote ardhi ipo.
Hii kama komenti yangu vile kwenye thread zangu zilizo pita. Right?Kwa wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka hii ya elfu 2010s msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha ( kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)
Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae..
Kusonesha ni uwekezaji pia kama hujui kusomesha cha kueleweka kuanzia primary shule za kuelewekaMmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985).
Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja).
So kumbe akisoma English Medium na shule za Private ndio anakuja kuwa tajiri eti eeh?Kusonesha ni uwekezaji pia kama hujui kusomesha cha kueleweka kuanzia primary shule za kueleweka
Pole kwako usiyejua kuwa kusomesha ni uwekezaji kwenye kichwa cha mtoto
Uwekezaji unaotaka mtu serious hasa asiye mbinafsi kama wewe anayejiangalia yeye tu haangalii future generation ikoje
Wanaokopa,wasio na nyumba wala shamba kwa kujinyima kusomesha shule nzuri wamejipanga kuua vicious circle ya umaskini ya future generation. Wewe na ubinafsi wako baki hivyo hivyo na ubinafsi wako somewhat shule mbaya ili uonekane wewe unakula bata sasa kizazi kibaki maskini
Watu wanajinyima kukomboa future generation wewe Conservative unaishi maisha ya giza utakuwa mwanga wewe
Umaskini huko.vijijini mkubwa na unatisha pamoja na hao wazazi kumiliki mashamba na kuwa na nyumba ni maskini wa kutupwa wa kipato real cash
Sasa hivi tuko kwenye cash economy kimataifa mtoto anatakiwa kuandal8wa kwa uchumi sasa wa cash economy kimataifa
Kila mzazi apambane na hali yake mpuuzi wewe na mumbeya usimfundishe mtu mwingine kipato chake atumiaje mwehu weweKwa wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka hii ya elfu 2010s msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha ( kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)
Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae..
Kila mzazi apambane na hali yake mpuuzi wewe na mumbeya usimfundishe mtu mwingine kipato chake atumiaje mwehu weweSo kumbe akisoma English Medium na shule za Private ndio anakuja kuwa tajiri eti eeh?
Mbona hao walimu wanao mfundisha kwenye shule hizo sio matajiri?
Unalipia mamilioni mtoto wako afundishwe kuwa tajiri na mwalimu ambae ni masikini?
Kwani wewe ni Mzungu mkuu? Mambo ya " mind your own business" huwaga ni ya wazungu. Ila sisi waafrika lazima huwaga hatunyimani ushauri.Kila mzazi apambane na hali yake mpuuzi wewe na mumbeya usimfunfidhe mtu mwingine kipato chake atumiaje mwehu wewe
Wahi mirembe kichaa wewe Pesa ya mtu mwingine inakuhusu nini? Mind your own business foolish wewe
Achana na maisha ya watu mbwa wewe
Uswahili huo kuhangaika na maisha ya watu mtu kala nini pesa yake anatumiaje yanakuhusu nini mshenzi wewe huna mambo yako ya maana ya kufanya kuliko kuhangaika na kuangalia mtu mwingine anafanya nini kwenye matumizi ya pesa yake..Kwani wewe ni Mzungu mkuu? Mambo ya " mind your own business" huwaga ni ya wazungu. Ila sisi waafrika lazima huwaga hatunyimani ushauri.
Maisha yako ila msiba wako wa kwetu. So lazima tukuelekeze tukiona unapotea.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Uswahili huo kuhangaika na maisha ya watu mtu kala nini pesa yake anatumiaje yanakuhusu nini mshenzi wewe huna mambo yako ya maana ya kufanya kuliko kuhangaika na kuangalia mtu mwingine anafanya nini kwenye matumizi ya pesa yake..
Una pepo la umaskini kama Yuda Iskariote kwenye Biblia ambaye alipoona Martha abampaka mafuta ya bei mbaya Yesu miguuni akasema ni upotevu hayo mafuta yangruzwa pesa nyingi pesa wakapewa maskini akampangia Martha vitu vyake vya gharama atumiaje Yesu akamfokea Yuda Iskariote kuwa achana na kuelekeza tajiri atumiaje vyake
Na wewe una pepo la umaskini la baba yako yuda Iskariote kuwapangia watu wengine vipato vyao watumiaje
Pepo ulilonalo jina lake linaitwa Yuda Iskariote
CCM ni waajiriwa? Au umejibu tu!Mbona wanaccm wanatajirika? Na hakuna aliyejiajiri?
Wanazifuja walioachiwaWazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja).
Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi.