Kwa hili sikatai ukisoma hadi chuo elimu huwa inatutenga mno na mbinu za uzalishaji Sasa ukimaliza usipate ajira ya kile umesomea kurudi kujitafuta huwa ni mtihani mkubwa sanaUsemacho kinawezekana ila ni graduates wachache sana wanao toboa kimaisha. Nahisi elimu wanayo pata shule ni kama huwa inawaondolea uwezo wa kutumia common sense
Kabisa me siwez jitesa kuwaza ada nampeleka kayumba ila nampa support yote.100% prefect.
Hawa watanzania wenye vipato vya kuunga wanao jistress kulipia watoto wao mamilioni kwenye EMs wafanyiwe utafiti aisee. Hesabu zao wanazipiga kinyume nyume. Wanafikiri kujitesa na kujistress ndio kufanikiwa.
Ukweli mchungu mkuuKwa hili sikatai ukisoma hadi chuo elimu huwa inatutenga mno na mbinu za uzalishaji Sasa ukimaliza usipate ajira ya kile umesomea kurudi kujitafuta huwa ni mtihani mkubwa sana
Na hapa ndio wasomi hujikuta wako desperate
Lakini pia being caught in a dream Kila siku unaota utapata ajira ajira ajira mwisho umri unasonga nguvu zinapungua na creativity inashuka hii huwakuta na watu wanaoamini kwenye vipaji kama soka na mziki
So kujipata ukisoma ni kazi sana
100% perfectKwa hili sikatai ukisoma hadi chuo elimu huwa inatutenga mno na mbinu za uzalishaji Sasa ukimaliza usipate ajira ya kile umesomea kurudi kujitafuta huwa ni mtihani mkubwa sana
Na hapa ndio wasomi hujikuta wako desperate
Lakini pia being caught in a dream Kila siku unaota utapata ajira ajira ajira mwisho umri unasonga nguvu zinapungua na creativity inashuka hii huwakuta na watu wanaoamini kwenye vipaji kama soka na mziki
So kujipata ukisoma ni kazi sana
Kabisa me siwez jitesa kuwaza ada nampeleka kayumba ila nampa support yote.
Maana saiv sio kusoma tu akimalza chuo uwaze unampa kazi au mtaji.
Mkuu hivi hizo shule za ada ndefu hawana extra curricular activities kama namna ya kuanzisha kampuni, matumizi ya ICT, music na talent nyingine ?Mbay zaidi unamsomesha Feza School mamililni ya fedha anamaliza Chuo tunakuta a na Bahasha la CV anaomba kazi ya Mshahara wa Laki 7.
You must be sick.
Kama unauwezo wa kumsomesha mtoto wako Shule ya gharama kubwa basi jiandae mwanao ashike mambo makubwa a apomalizachuo.
Mfano uwe na Kampuni yako atakayosimamia na kufanya kazi, au Msafirishe Nje ya Nchi akafanye kazi za kimataifa na makampuni reputable.
Hizi nyingine ni kujidhalilisha na kupoteza fedha bure.
Hujasomeka mkuu
Ni eimbo gani huu, umeipataje kabla haujatoka ?na wimbo wa Makaga ukitoka, wamiliki wa shule za Ems wataandamana upigwe marufuku kwa sababu utazidi kuwapunguzia " wateja" kwao kwa kiasi kikubwa sana kuliko hali ilivyo sasa.
Kitu pekee wanachofaidi ni kuongea kingereza kilichonyooka.Mkuu hivi hizo shule za ada ndefu hawana extra curricular activities kama namna ya kuanzisha kampuni, matumizi ya ICT, music na talent nyingine ?
So wanafunzi wanavuna nini hapo ?