Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwanini mzungu ambaye ni dikteta, mnyonyaji, kupe, mla rushwa anaweza kuja Afrika na kujenga nchi wakati mwaAfrica mwenye kukaribia utakatifu jasho linamtoka?
Mkuu Zakumi, nadhani umemuelewa Jmushi1 tofauti. Nadhani alikuwa anajenga hoja kuwa kuna kufanana kimtizamo, hakuwa na maana kuwa yeye Dr Slaa ni dawa ya umasikini.Jmushi1 and Nguruvi2,
Siku zisije mkawa very dissapointed. Dr Slaa anaweza kuchaguliwa kuwa rais na akamaliza muda wake nchi ikiwa bado masikini.Wanafalsafa wa uchumi wamesha-prove kuwa uongozi ni kitu muhimu but it isn't the only prerequisite for development. Africa ina-nchi zaidi 40, na huwezi kusema kuwa katika nchi zote hizi hajawahi kutokea kiongozi mzuri.
Nyerere mliyemtumia kwenye mifano, tulikaa naye na aliongoza kwa miaka 23 na watu tulimchoka.
Kwanini mzungu ambaye ni dikteta, mnyonyaji, kupe, mla rushwa anaweza kuja Afrika na kujenga nchi wakati mwaAfrica mwenye kukaribia utakatifu jasho linamtoka?
Possibility of failure isikufanye uwe binadamu usiyetaka kutake risks, it all comes with the territory.Jmushi1 and Nguruvi2,
Siku zisije mkawa very dissapointed. Dr Slaa anaweza kuchaguliwa kuwa rais na akamaliza muda wake nchi ikiwa bado masikini.
Wanafalsafa wa uchumi wamesha-prove kuwa uongozi ni kitu muhimu but it isn't the only prerequisite for development. Africa ina-nchi zaidi 40, na huwezi kusema kuwa katika nchi zote hizi hajawahi kutokea kiongozi mzuri.
Nyerere mliyemtumia kwenye mifano, tulikaa naye na aliongoza kwa miaka 23 na watu tulimchoka.
Kwanini mzungu ambaye ni dikteta, mnyonyaji, kupe, mla rushwa anaweza kuja Afrika na kujenga nchi wakati mwaAfrica mwenye kukaribia utakatifu jasho linamtoka?
Wazungu hao hao walienda Austalia na New Zealand na wakapajenga kweli kweli.
Wana nini hawa wazungu?
Mkuu Zakumi, nadhani umemuelewa Jmushi1 tofauti. Nadhani alikuwa anajenga hoja kuwa kuna kufanana kimtizamo, hakuwa na maana kuwa yeye Dr Slaa ni dawa ya umasikini.
Tukiangalia nadharia tulizojiwekea kuhusu maendeleo( watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora) utaona hivyo viwili vya mwisho vinamatatizo sana. Watu tunao na kwa Tanzania ya leo rasilimali watu ni bora kuliko Nyerere alipochukua nchini hasa kielimu, ardhi tunayo tena nzuri na ya kutosha.
Tutoe mifano ili twende pamoja. Nchi kama India inapiga hatua kubwa kwasababu kila wanapojitathmini hawakawii kufanya mabadiliko ya uongozi. Chama cha Congress (sawa) na CCM, kwasasa kipo benchi na wananchi wanaridhika na PJP. Wanakubali hata kwa machungu kuwa Mammohan Singh pamoja na u-singh wake ana uwezo wa kuioandoa nchi kutoka ilipo kwenda hatua moja. Hii haina maana India hakuna umasikini, upo tena uliokithiri lakini kasi yao ya maendelo inatisha
China ambayo haikuwa katika nchi tajiri sasa ni tishio. Angalia uongozi wao na maamuzi yao.Serikali ilipoamua kuwatuma wachina kwenda kuiba teknolojia magharibi ni mbinu ya hali ya juu.Angalia vision yao ya miaka 25 ijayo na inavyofuatiliwa 'chronoligically'. Nchi inapoamua kuwa mkuu wa mamlaka iliyotia hasara ya maziwa na kuathiri soko anyongwe ni tofauti na sisi tunaowastaafisha wezi kwa furaha na nderemo tukilea wizi na ubadhirifu kwa kutegemea misaada
Kwa miaka 2 nchi yetu imeshindwa kuzalisha chochote kwasabau ya umeme. Pesa za umeme wa dhararu zingetosha kabisa kuondoa tatizo hilo kwa miaka kadhaa katika mipango timilifu. Lakini pia, wale waliotia taifa hasara ya matrilioni bado wapo na wanazunguka wakihubiri utakatifu kwa kutumia pesa zile zile walizoiba. Mwenye dhamana ya kulikokoa taifa anasema waacheni wapunzike, ni sehemu ya genge la uhalifu.
Taarifa ya CAG inaonyesha kuwa pesa tunazopoteza kwa wizi na ufujaji zingeweza kuziba pengo la nakisi ya bajeti kwa kiasi kikubwa. Hakuna kiongozi anayeliona hili, wao wanona marupu rupu na posho za kufanya kazi. Kiongozi wa namna hii ana vision gani ya kumsaidia Mwandiga wa kule Mtimbira na nyumbani Muheza.
Unapomsikia kiongozi kama spika anadai posho zilingane na za Wakenya, hivi unadhani mtu wa namna hii amewahi kufikiri kwanini wananchi wa Nyakatende Musoma ni masikini sana? Huyu ni Spika sasa mipango ya kujikwamua atasimamia nani?
Waziri mkuu aliwahi kusema, posho ni kwa ajili ya kuwapa wananchi na hivyo wabunge wanastahili. Hivi huyu mtu anayeamini kuwa kazi ya mbunge ni kugawa pesa, yeye na mbunge wake wanaweza kukaa chini na kufikiri jinsi gani ya kutumia rasilimali kumkomboa masikini wa Isevya Tabora? Kwa mtazamo gani !
Hivi kiongozi aliyekaa madarakani miaka 20 na bado hajui kwanini Tanzania ni masikini, na anadhani ni muhimu kwenda kujifunza mabembea yanavyoweza kuvutia utalii ana mtazamo gani kuhusu utalii uliopo usiohitaji bembea na unajojiuza wenyewe!
Hoja ni kuwa watu na ardhi vipo. Siasa safi na uongozi bora hatuna. Inaweza kuwa siasa safi ipo lakini uongozi wa kusimamia siasa hiyo hakuna. Fikiria, azimio la Moshi na Iringa yalikuwa na matatizo gani hadi tufikrie azimio lingine la kilimo kwanza. Hivi kwanini ushindwe kusimamia sera za kuimarisha UFI kwa namna yoyote na ufikirie kununua jembe kutoka Bangladesh!
Nimalizie kusema kuwa sisi kama nchi tuna kila kitu, tatizo letu tupo kama 'kiosiki' ambako kila bidhaa ipo lakini itachukua nusu saa kwa muuzaji kujua mafuta ya taa yapo wapi. Ili tubadilike ni lazima tuwe na uongozi utakaotusaidia kubadili kiosiki ili kiwe supermarket iliyopangika na kila kitu kinaonekana.
Anayeweza kubadili ni uongozi na hapa ndipo tatizo lilipo.
Possibility of failure isikufanye uwe binadamu usiyetaka kutake risks, it all comes with the territory.
Kama maendeleo ya nchi flani ya kiuchumi yanaweza kuwa attributed to certain leaders ama uongozi, why cant we do the same with poverty?Ndiyo maana ya accountability.
It is a fact kwamba tunahitaji mawazo mbadala, ni risk kubadili uongozi, lakini maendeleo hayaji bila kutake risks.
Ni kweli ilikuwa nadharia ya Nyerere ambaye alikuwa mwenyekiti wa chama tawala na serikali tawala. Kwa muda wote hakutokea mtu wa kuipinga na ilibaki kuwa nadharia ya nchi hata kama hutaki ukweli ndio huo.Zakumi;3426884]Ngu3,
Kwanza nadharia ya kusema kuwa ukitaka maendeleo unahitaji vitu vinne sio ya kwetu. Watanzania hawakujiwekea. Hiyo ni nadharia ya Nyerere na sio ya nchi. Kaunda alikuwa na nadharia zake lakini waZambia hawasemi kuwa walijiwekea. Lenin alikuwa na nadharia zake, lakini sio za warusi.
Hivyo watanzania kung'ang'ania kuwa ukitaka kuwa na maendeleo unahitaji vitu vinne ni kujipunguzia uwezo wa kuangalia matatizo yao kiundani zaidi. Hii ni kwa sababu tupo tunaoamini ukitaka maendelelo kuna vitu vingi zaidi ya hivyo vinne. Na kuna watu kama Nyani Ngabu wanaoamini kuwa maendeleo ya nchi yanatokana na watu walivyo. Ni watu wanaochagua viongozi, ni watu wanapanga siasa na ni watu wanaotumia ardhi
Hakuna mahali niliposema China haikuwa tajiri kwa mantiki yako. Nilichosema ni kuwa katika nchi zenye uchumi China ilikuwa haitajwi. Kama ulikuwa na ufahamu katika miaka ya 60 na 70 China ilitambulika kama nchi zinzoendelea haikuwa katika kundi la industrialized countries. Kama unafuatilia utakumbuka kitu kilichokuwa kinaitwa super power, G7, G9 na sasa G20.Mtu anayekwambia kuwa China haikuwa tajiri mwambie akasome tena historia. Haikuwa tajiri kwa mtazamo wa kimagharibi lakini walikuwa na ingridients za maendeleo
Aaaah mkuu wangu hata hili neno tuanze kubishana.. Fukara ni maskini wa mali, mtu asiyekuwa na uwezo, rasirimali wala means of subsistence... Chakula, nguo, malazi yote Mungu ndio anajua japokuwa ni mzima wa afya na viungo > huyu ndiye fukara...Fukara kinyume chake ni tajiri? Toa maana ya fukara unavyoelewa wewe.
Kwa sababu sisi ktk mila na desturi zetu Utajiri haukuwa na tafsiri kama ya wazungu kama alivyosema Zakumi, tuliishia zaidi ktk kukidhi mahitaji yetu.. Na ndiuo maana utakuta hakuna Historia ya mtu mweusi kwenda nchi za nje kutafuta utajiri au mali maana tulijitosheleza kwa kile tulichokuwa nacho.Kwa nini Afrika kusini mwa jangwa la sahara ni maskini? Na kwa nini Afrika Kusini (nchi) ni tajiri kushinda nchi zingine za Afrika?
Bila wazungu kulowea kule unadhani Afrika Kusini ingekuwa hapo ilipo sasa?
Labda nikujibu swali hili kwa jinsi navyolifikiria mimi na mtazamo wangu. Nchi za kiafrika hatuna maendeleo kwa sababu hatuna necessities zetu zaidi ya kukidhi necessities za wazungu. Tumepanda zao la Korosho, Pamba, Katani na kadhalika kwa sababu yao na sii yetu maana kama tungelima pamba ilit utengenezen nguo zetu tungefikiria kuwa na viwanda vya nguo. tungefikiria kuwa na wajuzi wa kuchora na kushona (designers) lakini leo imefikia hata kuvaa kwetu tunafanya kwa kuiga zaidi ya mahitaji yenyewe. Ndio maana nasi siku hizo tuna show za mavazi ya kikwetu lakini targeting masoko ya nje kuwaizia Ulaya.Jmushi1 and Nguruvi2,
Siku zisije mkawa very dissapointed. Dr Slaa anaweza kuchaguliwa kuwa rais na akamaliza muda wake nchi ikiwa bado masikini.
Wanafalsafa wa uchumi wamesha-prove kuwa uongozi ni kitu muhimu but it isn't the only prerequisite for development. Africa ina-nchi zaidi 40, na huwezi kusema kuwa katika nchi zote hizi hajawahi kutokea kiongozi mzuri.
Nyerere mliyemtumia kwenye mifano, tulikaa naye na aliongoza kwa miaka 23 na watu tulimchoka.
Kwanini mzungu ambaye ni dikteta, mnyonyaji, kupe, mla rushwa anaweza kuja Afrika na kujenga nchi wakati mwaAfrica mwenye kukaribia utakatifu jasho linamtoka?
Zakumi, sidhani kama unataka tuingie kwenye mjadala wa namna ya kutake risk ya kubadili uongozi, huo ni mjadala mwingine.JM,
Tanzania ina matatizo mengi na uongozi ni moja wapo. Na nitafurahi kama uongozi utabadilika kesho. Na kuhusiana na ku-take risks, people don't take risks for sake of it. You have to take risks and fall down somehow safely.
Unataka watanzania wa-take risks kwenye nchi inayowatukuza waalifu. Chenge anaiba pesa, akirudi kwao watu wanafanya maandamano ya kumpokea. Lowassa anajiuzulu uwaziri mkuu, kwao wanasikitika na mkewe kutunga kitabu cha dini.
Zakumi, sidhani kama unataka tuingie kwenye mjadala wa namna ya kutake risk ya kubadili uongozi, huo ni mjadala mwingine.
Ni kweli kuwa baadhi yetu tunakubaliana kuwa uongozi ndiyo the main obstacle, lakini haina maana kuwa tunajadili namna ya kupata uongozi mpya kwenye mjadala huu.
So sitoweza kuzungumzia lolote kuhusiana na hoja yako ya "You have to take risks and fall down somehow safely", because i believe that the "hows" will divert this disscussion...Ila nataka kukumbushia tu kwamba hiyo safety inawezekana with a solid new people's constitution.
Hilo litafix hoja yako ya "Kutake risk kwenye nchi yenye kuwatukuza wahalifu"
@Mkandara,hoja yako ina nguvu, however usisahau kuwa wananchi wakiwa na kazi na vipato, wataspend, na hivyo wafanyabiashara wataya target mahitaji yao na hivyo kukuza soko la ndani na uchumi kukuwa.Hilo litasaidia kutokuwategemea wazungu peke yake.Hiyo ni hatua ya kwanza, lazima tuwe na uwezo wa kutegema soko la ndani kwa bidhaa zetu.
So tunarudi kwenye kushindwa kwa uongozi ku create jobs nk, its a total failure, but i still belive that we can!
Mkuu Mkandara, kuna wakati tunawalaumu wazungu kwa makosa yetu. Wao walitumia elimu yao kuvumbua viwanda na hakika sisi tumeiga teknolojia yao ya vitu kama viwanda vya nguo si kwa faida yao bali kwa faida yetu ili tusivae vibwende kama akina Rumanyika, Kimweri n.k.Labda nikujibu swali hili kwa jinsi navyolifikiria mimi na mtazamo wangu. Nchi za kiafrika hatuna maendeleo kwa sababu hatuna necessities zetu zaidi ya kukidhi necessities za wazungu. Tumepanda zao la Korosho, Pamba, Katani na kadhalika kwa sababu yao na sii yetu maana kama tungelima pamba ilit utengenezen nguo zetu tungefikiria kuwa na viwanda vya nguo. tungefikiria kuwa na wajuzi wa kuchora na kushona (designers) lakini leo imefikia hata kuvaa kwetu tunafanya kwa kuiga zaidi ya mahitaji yenyewe. Ndio maana nasi siku hizo tuna show za mavazi ya kikwetu lakini targeting masoko ya nje kuwaizia Ulaya.
Sii dhahabu, chuma, uranium, vinyago wala wanyama yoote haya tunayafanya kwa sababu ya mahitaji ya mzungu lakini huwezi kuona mzungu akivumbua kitu kwa ajili ya mahitaji ya Mwafrika au Mchina. Wewe Mdanganyika ambaye unakihitaji ndio utaagiza kitu hicho kutoka kwao lakini wao kamwe hawatengenezi kitu bila kutokana na kukihitaji. Chukulia mfano wa ugonjwa wa malaria tu, bila huruma za UN upande wa madawa basi hata dawa ya malaria au hata vyandarua tusingekuwa navyo kwa sababu sisi hatutazami mahitaji yetu na kuyatafutia ufumbuzi bali tunatafuta maendeleo kuwa kama Ulaya.
Na magonjwa yote ya Tropical ndio yanatuua zaidi lakini hakuna nchi hata moja ya kiafrika imeweza kugundua kinga au dawa za ponya kwa sababu elimu tunazopewa ni kuwahudumia wao zaidi ya kukabiri mahitaji yetu sisi wenyewe. hatuna maji tunapigwa siasa, hatuna Umeme - siasa, Shule - siasa, Afya - siasa, hata Kilimo - Siasa yaani sisi ni malimbukeni na ndio mnaana hatuna vision kwa sababu mahitaji yetu pia ni ya ku copy na kupaste..
Niongezee tu mfano mmoja, utalii umefanywa kitu cha wageni. Kwani kuna ubaya gani ukiwa na soko la ndani na la nje? Soko la ndani litumike katika ku sustain miradi na la nje kwa development.@Mkandara,hoja yako ina nguvu, however usisahau kuwa wananchi wakiwa na kazi na vipato, wataspend, na hivyo wafanyabiashara wataya target mahitaji yao na hivyo kukuza soko la ndani na uchumi kukuwa.Hilo litasaidia kutokuwategemea wazungu peke yake.Hiyo ni hatua ya kwanza, lazima tuwe na uwezo wa kutegema soko la ndani kwa bidhaa zetu.So tunarudi kwenye kushindwa kwa uongozi ku create jobs nk, its a total failure, but i still belive that we can!
Zakumi, kazi zikiwepo, uchumi utakuwa mzuri tu!Huwa nashangaa sana watanzania eti viongozi wanawaita wavivu nk, Mkapa kweli hana huruma.Ama kwa makusudi ama kwa bahati mbaya, hawajui majukumu yao hawa viongozi wetu.JM,
Sikuwa na maana uliyofikiria. Ukweli ni kuwa kati nchi zilizoendelea people are risk takers katika fani zote. Kitendo cha Bill Gates kuacha shule na kuanza biashara ni risk taking adventure.
Mchukue mtanzania aliyetoka nje ya DSM na kwenda kusoma UDSM. Mpe nafasi nzuri na mwambie aachie masomo kama Bill Gates. Je atakubali?
Mmarekani anaweza kuachia shule kwa sababu akianguka,ataanguka salama. Anaweza kurudi tena shule. Mmarekani akiandamana kuipinga serikali ana uhakika atarudi nyumbani mzima.
Kwa Tanzania usalama haupo. Hivyo watu sio risk takers. Lakini wanaanza kubadilika taratibu.
It's in their DNA.
Is their DNA different from ours?