Jobs can be created through policies and implementations.Job creation nayo ni challenge kubwa. Kwa vioongzi wetu njie pakee wanayotegemea ni Uwekezaji tena wa nje. Na serikali amabayo ndiyo muajiri mkubwa kuna shemu nyigine kuna watu wafanyakazi wengi zaidi ya mahitaji na mbaya zaidi smometime perfomence haiendani na idadi.
Ebu tuambiane katika local level
- How can job be created.
- Ni jukumu la nani kutengeza ajira. ( Kila mwanamanchi ,viongozi, serikali, wenye uwezo)
Economic incentives as a broader term/issue, ina drive uchumi kukuwa kwasababu watu watawekeza because of that(incentives).
Lakini kama unazungumzia incentives za kufanya kazi, basi ni mishahara, bonuses nk. So hizo ni different perspectives.
However hapa, the latter siyo the main issue, since there aint no jobs, mainly due to the fact kuwa there aint no incentives economicwise for people to invest, hence less job creations.
Sikutafuta utofauti, ila ulikuwepo, "economic incentives" uliitumia kwa namna ya tofauti.Jmush1,
Ingawaje unatafuta tofauti. Vitu vyote ulivyovitaja hapo juu viko inter-related. Chukua mfano huu. Kwa nini kwenye nchi zenye high level of job creation or very low unemployment rate, mishahara na bonus zinakuwa kubwa?
Sikutafuta utofauti, ila ulikuwepo, "economic incentives" uliitumia kwa namna ya tofauti.
Kuhusiana na mishahara na bonus kubwa kwenye nchi both masikini na tajiri, hilo lisikushangaze, kwani hujui pia kuna watu wanaishi kwenye nchi masikini lakini maisha yao ni ya hali ya juu zaidi ya tajiri wa nchi tajiri?
Their number might be insignificant, but the percentage of the nation's wealth they they posses might be significant in whatever terms you're reffering to.Jmush1,
Wow, I didn't expect this from you. The number of well to do Tanzanians per capital is insignificant even though they exist.
Labda mimi nichangie kidogo kulingana na jinsi navyofahamu na mtazamo wangu.Job creation nayo ni challenge kubwa. Kwa vioongzi wetu njie pakee wanayotegemea ni Uwekezaji tena wa nje. Na serikali amabayo ndiyo muajiri mkubwa kuna shemu nyigine kuna watu wafanyakazi wengi zaidi ya mahitaji na mbaya zaidi smometime perfomence haiendani na idadi.
Ebu tuambiane katika local level
- How can job be created.
- Ni jukumu la nani kutengeza ajira. ( Kila mwanamanchi ,viongozi, serikali, wenye uwezo)
Jobs can be created through policies and implementations.
Kwa hiyo Job creation inatakiwa sisi tuthamini vitu vyetu, tujithamini sisi wenyewe kwa kuyapenda maendeleo na sio
Watu wanadhani mfumo wa uongozi hauna role kubwa zaidi kwenye kuleta maendeleo, binafsi, naamini kabisa kuwa wakuu wa mikoa na hata wale wa wilaya wanatakiwa wawe wanachaguliwa na wananchi, wawe ni watu waliotokana na wananchi, watu watakaofanya kazi na wananchi, na watu watakaokuwa accountable kwa wananchi na si Rais kama ilivyo sasa ambapo ni kama mfumo wa kisultani ukiangalia namna nafasi hizo zinavyotolewa, mfumo wetu wa uongozi haufai, ndo maana tuna matazamio mapya yatakayotokana na katiba mpya.Nadhani upande wa policy tanzania inaweza kuwa na policy nzuri zaidi katika afria mshariki lakini je zinatekeezeka??? na ziko realisitic. Nakubaina na wewe ila naona tuna tatizo kwenye Implimentation
Sasa sometime inashangaza Mradi fuani wa waizara ya kilimo resouces zake nyingi (kama magari na watendaji ) ziko stationed Dar!!!!!!!
Hivi hapo kweli kuna kilimo kwanza?? VX 10 za agriculture extension project ziko dar moja ndio Iko rukwa au iringa. Meneja mradi na watedaj wakuu wanakula posho kwa maproposal kwa mgongo wa wa mikoa ya big four hawajui hata vumbi la rukwa ikoje........
Unayoyasema ni kweli kabisa maana tunachojaribu sisi kufanya ni kujibadilisha kuwa kama wazungu. Na ndio maana tunahitaji vitu vyao vilivyotengenezwa kwa mahitaji yao kwanza na kama unakumbuka Tommy Hilfiger aliwahi kusema sikutengeneza nguo zangu kwa ajili ya watu weusi, watu wakamchukuia sana na kuanza kampeni za kutovaa nguo zake lakini wakanunua za Keneth Cole mzungu mwingine..Nakubaina na wewe mkandara . tatizo ni pale wanasiasa na viongzoi wanaotaikiwa kuwa mfano wanapokuwa mabingwa wa kuyasema haya bila wao kunyesha vitendo.
Mifano
- Niliangalia ile picha ya Ikulu JK akikutana na vingozi wa vyama mbai mbali kuhusu katiba nikawa najiuliza humo ndani ya kile chumba what is made in Tanzania. Nilipenda kujua japo ilee michro ya ukutani ni ya nani Lakini sijafaniiwa kujua. Tusishangae hata carpet ya Ikuu itoke china lakini hata paniting au kinyago nacho kinatoka Italy??????? then wanakuja wanasias a wanasea tupende bidhaa zetu. Au watasema vinyago vya kitaznaia havina quality ya kukaa ikulu. Au hakuna muhunzi ,mchoraji Tanzania...
- Huwa najiuliza vipi kia mbunge akiamua kuwa mfano ,katika seti zake za viatu kwa mwaka moja au mbii azichongeshe kwa mkono kwa mafundi wa mtaani . au vipi katika suti anazovaa Mheshimiwa Ziitto Au January au Dr Dslaa Au Kikwete tusikie baadhi zimetengenezwa na Khadija mwanamboka na sio za Italy.........
- Huko nyumna pia nimetaja tatizo la kutopendea viwanda au watu wa nyubani. Samani za ikulu zinatoka "China" au Uaya za wizarani nazo hivyo hivyo .... Lakini hata samani za Ofisi ya Mkuu wa wilaya nazo zitoke china ?????? Hapa sasa ndio vingozi wetu wanatakiwa kungalia kulazimisha kuwa tender fulani katka eve fuanii tazame local made product. Hiiz ni baadhi ya sera chache za kukuza ajira. Nilitoea mfano wa Mkoa wa Tabora. Mheshimwa Sita ambaye mkoa wake una miti na mbao anaamua kunua viti hata chakuaia wageni kutoka dar na dar wanaagiza kutoka china. So vijanawa mkoa wa taora kazi yao ni kubeba tu maboksi ya vitu hivyo. Sasa mtu ofisi hitumiii hata kwa siku 60 kwa mwaka kwa nn japo asingesema moja ya kikundi kinachotengeza samani tabora ndio kisuppy vifaa vya samani ofisni kwangu . Au tender haiwezekani kushindanisha viwanda vidogo vidogo. Huu mfano ni Kwa wabunge wote.
Lakini Kwa majibu mepesi huwa tumaambiwa Ni quality......... Na mwansiasa gani yuko tayari achongeshe japo kiatu kwa mangi au ashoneshe suti kwa Mtanzania .........
Their number might be insignificant, but the percentage of the nation's wealth they they posses might be significant in whatever terms you're reffering to.
Mkuu, income inequality inaathiri zaidi nchi masikini.
.............................
na hata kiwanda cha viatu kilichoitwa Bora sio kiwanda tena kwa hadhi hata ile waliyokiuza. What went wrong!.. na kwa nini tuliubali vife ilihali viliweza kukidhi mahitaji yetu muhimu japokuwa sii kwa standard ama grade ya juu.
Kitu kingine sisi hatuna 'a can do spirit/ attitude'.
Hatuna ujasiri wa kuthubutu kujaribu kufanya makubwa. Tunaogopa kujaribu kufanya ambayo hatujawahi kufanya.
Hatuchukui risks - na bila kuchukua risk kuna mambo mengi yatatupita.
Bila kubadili mental attitude we will continue to wallow in poverty and misery for many generations ahead.
Kitu kingine sisi hatuna 'a can do spirit/ attitude'.
Hatuna ujasiri wa kuthubutu kujaribu kufanya makubwa. Tunaogopa kujaribu kufanya ambayo hatujawahi kufanya.
Hatuchukui risks - na bila kuchukua risk kuna mambo mengi yatatupita.
Bila kubadili mental attitude we will continue to wallow in poverty and misery for many generations ahead.
Mkandara umesema Bora niekumbuka design moja ya raba ilienda kwa jina a DH (Hope wanajamvi mnazikumbuka) . Wakati bora wakitoa Hizi DH watu/wanafuzni waliozivaa walichekwa. Na zilipewamajina ya kebehi... . Miaka 20 baadae Bora imekufa (Sijui kenya kama BATA bado ipo) RaBa za design ya DH sasa ukivaa wewe ni kati ya "wajanja". Just because may be zinatoka nje .
Who know may be hata patent ya "DH" asili yake ni africa kama Si tanzania lakini sabau hatukuthamini Idea zetu ndio wanachukua na kutuuzia
Na kwenye soko huria hili tumekaririshwa neno ubora kama moja kigezo kutufanya tudisqualify vya kwetu kirahisi
NN mfano u re given a decision kuchagua One risk tanzaia should take na ifanyiwe kazi . Itakuwa ni ipi hiyo...
Unayoyasema ni kweli kabisa maana tunachojaribu sisi kufanya ni kujibadilisha kuwa kama wazungu. Na ndio maana tunahitaji vitu vyao vilivyotengenezwa kwa mahitaji yao kwanza na kama unakumbuka Tommy Hilfiger aliwahi kusema sikutengeneza nguo zangu kwa ajili ya watu weusi, watu wakamchukuia sana na kuanza kampeni za kutovaa nguo zake lakini wakanunua za Keneth Cole mzungu mwingine..
Kuhusu viongozi wetu mimi nadhani kwa ujumla wetu hatuna Uzalendo..Hatujui kuthamini vyetu na ningependa sana kuwauliza swali moja - Ni sababu gani viwanda vyetu vilikufa? sitopenda majibu ya kulaumu Nyerere na siasa za Ujamaa na Kujitegemea kwa sababu viwanda haviwezi kufa kutokana na mfumo. Vingekufa China, Urusi na Cuba kabla yetu lakini wao ndivyo vinavyoendesha uchumi wao hadi leo hii. Tena Cuba wanazo gari za Kimarekani zilizotengenezwa mwaka 1934 na zipo barabarani hadi leo wakati Marekani penyewe hawana.
Mfano mdogo tu tazama Tanganyika Packers, hawa waliweza kuchinja nyama wakazisambaza na hata kusindika nyama za makopo beef tukaziuza hadi nchi za nje. Leo kiwanda hicho sio tu kimekufa bali hadi mitambo yake imekufa kabisaa beyond repair. Sii UDA, UFI, TanGold, viwanda vya nguo, na hata kiwanda cha viatu kilichoitwa Bora sio kiwanda tena kwa hadhi hata ile waliyokiuza. What went wrong!.. na kwa nini tuliubali vife ilihali viliweza kukidhi mahitaji yetu muhimu japokuwa sii kwa standard ama grade ya juu.
Mashirika na viwanda vyote tulivyouza vimekufa hata baada ya kuingia Ubepari. wakati wa Nyerere tulikuwa na asilimia 20 ya wafanyakazi, leo hii hatufiki hata hiyo asilimia 20 kutokana na kufa kwa viwanda vyetu wenyewe. Je, nini sababu ya kufa kwa viwanda nchini kiasi kwamba imeathiri hata uzalishaji wa Pamba, Katani na mazao mengine ya biashara na chakula. Nadhani hatuwezi ku create kazi mpya wakati hatujui kwa nini tulia kazi zilizokuwa created before.
Mada nzuri sana hiiHivyo biashara ya viatu ilikufa sio kwa sababu watanzania walikuwa hawataki viatu, bali kulikuwa hakuna business model yenye kuweza kufanya kazi.
Mada nzuri sana hii
Hapana nadhani unachosema weweni sehemu ya tatizo . Hata mimi nakumbuka kama aivyosema mtazamaji ulikuwa ukivaa product ya Bora unachekwa. Sasa hiyo sio tatizo la businesss model ni perception ya bidhaa zetu nayo iliichangia.