Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?

Mkuu Silver25,

Kama Rais wako JK analitambua hilo kuwa nchi anayo iongoza mpaka sasa haijui yenyewe kanini ni maskini na Rais mwenye huwa hapendi kuulizwa hilo swali kwani huwa lina mkela sana kwani hajui jibu lake either kwa makusudi nor kkwa kiburi chake hataki kujibu kwani yawezekana naye ni role modal wa janga hilo la umaskini wa TANZANIA,

Nchi hii ili itoke kwenye umaskini ni kuwa na KATIBA mpya ambayo inajari sana maslahi ya nchi hii na kusimamia MUSTAKABALI wa TAIFA hili ndio hapo tutapiga hatua kwenda mbele lakini kwa hatua hii Celina Kombania anambiwa KATIBA inapaswa ibadirishwe na yeye kwa akili yake ilivyo finyu na kung'ang'ania si ha sa badala ya uwajibikaji wa serikali anapinga kwa nguvu zake zote ati KATIBA haina haja ya kubadilishwa kwani inakidhi mahitaji yetu kweli Celina Kombani hastahili kuwa katika wizara hiyo atatupotosha kabisa kweli KATIBA ya 60's,70's,80's and 90's up to now yeye anasema inatustahili kweli hajui ulimwngu unaenda ukibadilika na mambo yanatakiwa kufanyiwa mabadiliko kweli akili za Celina kombani bado zimeganda sana na ndio chanzo cha Tanzania kutojitambua mpaka leo kwanini inakuwa maskini kwasababu ya viongozi kama hawa wanapewa dhamani ya nchi na wanashindwa kuwa wabunifu na kukataa mawazo ya watanzania kweli madaraka kilevi kibaya sana.

Katika Baraza jipya mwaziri wa kujiuzuru mapema kabisa wala bila ubishi ni CELINA KOMBANI na NGELEJA hawajui wanalo lifanya kabisa hawa hawaitaji vote of no confidence hawa ni wawajibike live kwa akili ya mtu wa kawaida haiwezekani kuwa na mikataba mibovu naye bado anaikalia tuu alafu alaiapa kuwa ataitetea KATIBA na katiba yenyewe bado inamapungufu na bado hata hawaja itendea haki

Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?
Sababu za TZ kuwa masikini baadhi ni hizi hapa....................
1. Mikataba yote ambayo TZ inaingia kuna 10% za watu...........
2. Wakati wa uchaguzi watu huwa wanachagua CHAMA badala ya mtu.........
3. Kulipa fadhira kwa viongozi walioko madarakani................
4. Kulinda wezi wa mali ya uma kwa gharama yoyote...............
5. Maamuzi ya kitaaluma kufanywa kisiasa..............
6. Viongozi kujali zaidi maslahi yao binafsi badala ya Nchi............
7. ...............................
 
Sababu ya 'umasikini' wetu ni moja tu, nayo ni UJINGA.
Kuwa na mikataba mibovu isiojali maslahi ya nchi ila ubnafsi ni ujinga.
Kuwa na Katiba mbovu isijali usawa ni ujinga wa wananchi wanaochelea kuidai na viongozi wanaonufaika kwa mapungufu yake.
Kuwa waoga wa kuhoji na kuwa na usahaulifu uliopitiliza juu ya maisha ya sasa na baadae ni ujinga.
Kuishi kwa kutegemea wafadhili kwa kila kitu ni ujinga unaotumaliza w'tz. Ilishasemwa 'mtumaini cha ndugu hufa masikini'
Kuchagua viongozi walewale wasio na dira ya maendeleo wala dhamira ya kweli juu ya nchi ni ujinga. Mfano, tunachagua mtu asiejua hata sababu za 'umasikini' wetu.
 
Hakuna haja ya kujua maana hata rais wa nec hajui kwa nini tz na watz ni masikini. bora tuendelee kula vimihogo vyetu 2,3
 
Tanzani si masikini, waTanzania ndio masikini, tena umasikini wao ni wa kufikiri!
 
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?
mimi mwenyewe sijui kwanini niMASIKINI! nacho jua UMASIKINI WETU UPO KICHWANI!
 
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?

Ni swali gumu linalohitaji tafakari pana
 
Wana JK,
Katika tafakari yangu kuhusu mwenendo wa nchi yetu na mustakabali wake kiuchumi, nimeshtukia nagota kwenye tukio ambalo kwa maoni yangu linaweza kuingizwa kwenye kitabu cha guiness. Nalo ni tukio ambalo rais mheshimiwa sana, Dr. Dr. Dr. Jk (heshima, chuo cha uarabuni na udom) wakati akihojiwa na mwandishi mmoja maarufu wa habari mwanzoni mwanzoni mwa uongozi wake. Sehemu ya mahojiano ilikuwa kama ifuatavyo:

''Mwandishi: mhe. rais, unadhani ni kwa nini nchi yako ni maskini kiasi hicho wakati ina rasilimali nyingi zinazoweza kuwaletea wananchi wake maendeleo makubwa ya kiuchumi?

jk (huku akitabasamu kama kawaida yake): asante kwa swali zuri ndugu mwandishi. Kwa kweli hata mimi mpaka sasa sielewi ni kwa nini nchi yetu ni maskini. Nimejiuliza mara kadhaa lakini sijapata jibu. Sielewi kabisa''.

Hata mwanakijiji ambaye hajawaji kanyaga darasani angeulizwa swali hilo, angeweza kutoa jibu angalau lenye mantiki. Lakini kwa jk hilo ndilo lilikuwa jibu sahihi. Kwangu mimi hicho ni kituko cha karne kinachostahili kuingizwa kwenye kitabu cha guiness.

Huyo ndiye rais tunayelazimishwa na wapambe tumwite Dr. Hizo ndizo mbinu za kifisadi zinazotumika kuficha mapungufu ya kiongozi. Mimi siwezi kudanganyika na watanzania walio wengi wamebaini usanii huo.

Hitimisho:
Watanzania walio wengi ukiondoa mafisadi kama wana matumaini yoyote ya kupata maendeleo ndani ya uongozi wa jk, basi wanajidanganya na kwa kweli kabisa ni kama wanaota ndoto za mchana. Matumaini yao yanaweza kulinganishwa na kisa cha fisi anayenyemelea mkono wa mwanadamu kwa nyuma huku ulimi ukiwa unatema mate ya tamaa akidhani mkobo utadondoka wakati wowote. Tanzania haiwezi kupata maendeleo chini ya uongozi wa rais ambaye hajui hata sababu ya umaskini wetu ni nini!!! Huyo ndiye Mhe. Dr. Dr. Dr. M/Kiti wa Sisi ni M.
 
Ndio matatizo yalioko nyuma ya DHANA POTOFU ambayo miaka yote husisitizwa kwamba wapiga kura TUKACHAGUE CHAMA. Hizi ndio gharama zenyewe za dhana potofu watu kuchagua chama.

Maadan hatuna tofauti sana na mke wa mvuvi baharini basi hatuna budi KUVUMILIA hii harufu mbaya ya kila siku kwa kujichagulia.

Mwisho wake itafika tu pale ambapo wananchi tutakapogundua ukweli kwamba hata viongozi wa vyama vya upinzani nao pia ni Wa-Tanzania tena wenye uchungu kweli na nchi kuliko hata hawa MAFISADI ambao lao ni wanachokivuna kwenye madaraka na wala si kitu gani wakitendee nchi yao kamwe.
 
Hebu tumfowadie aiweke kweny kumbukumbu zake muhimu, just onething, mimi sio mwana JK ila mwana JF! Happy boxing day, usijekuta wamekufungia vile vitendea kazi hua vinauzwa kwenye kabox flani na vinakua kama vitatu hivi
 
CCM inafaidika na umaskini na kutokuwa informed kwa watz! Ipo siku mambo yatawageuka!
 
Wana JK,
Katika tafakari yangu kuhusu mwenendo wa nchi yetu na mustakabali wake kiuchumi, nimeshtukia nagota kwenye tukio ambalo kwa maoni yangu linaweza kuingizwa kwenye kitabu cha guiness. Nalo ni tukio ambalo rais mheshimiwa sana, Dr. Dr. Dr. Jk (heshima, chuo cha uarabuni na udom) wakati akihojiwa na mwandishi mmoja maarufu wa habari mwanzoni mwanzoni mwa uongozi wake. Sehemu ya mahojiano ilikuwa kama ifuatavyo:

''Mwandishi: mhe. rais, unadhani ni kwa nini nchi yako ni maskini kiasi hicho wakati ina rasilimali nyingi zinazoweza kuwaletea wananchi wake maendeleo makubwa ya kiuchumi?

jk (huku akitabasamu kama kawaida yake): asante kwa swali zuri ndugu mwandishi. Kwa kweli hata mimi mpaka sasa sielewi ni kwa nini nchi yetu ni maskini. Nimejiuliza mara kadhaa lakini sijapata jibu. Sielewi kabisa''.

Hata mwanakijiji ambaye hajawaji kanyaga darasani angeulizwa swali hilo, angeweza kutoa jibu angalau lenye mantiki. Lakini kwa jk hilo ndilo lilikuwa jibu sahihi. Kwangu mimi hicho ni kituko cha karne kinachostahili kuingizwa kwenye kitabu cha guiness.

Huyo ndiye rais tunayelazimishwa na wapambe tumwite Dr. Hizo ndizo mbinu za kifisadi zinazotumika kuficha mapungufu ya kiongozi. Mimi siwezi kudanganyika na watanzania walio wengi wamebaini usanii huo.

Hitimisho:
Watanzania walio wengi ukiondoa mafisadi kama wana matumaini yoyote ya kupata maendeleo ndani ya uongozi wa jk, basi wanajidanganya na kwa kweli kabisa ni kama wanaota ndoto za mchana. Matumaini yao yanaweza kulinganishwa na kisa cha fisi anayenyemelea mkono wa mwanadamu kwa nyuma huku ulimi ukiwa unatema mate ya tamaa akidhani mkobo utadondoka wakati wowote. Tanzania haiwezi kupata maendeleo chini ya uongozi wa rais ambaye hajui hata sababu ya umaskini wetu ni nini!!! Huyo ndiye Mhe. Dr. Dr. Dr. M/Kiti wa Sisi ni M.

Gosbertgoodluck! If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. But if you talk to him in his language, that goes to his heart.
 
Ili mtu uendelee lazima ukae na kujiuliza ni wapi umekosea, ni kwa nini uko ktk hali hiyo ya umaskini ufanye nini ili ujikwamue, sasa tunapokuwa na rais asiyejua kwa nini sisi wa TZ ni maskini ina maana tuna rais ambaye haumizi kichwa chake kuhusu wananchi wake bali anakula bata kwa kupata uraisi lengo la mkwere lilikuwa ni urais tuu ndo ndoto zake hayo mambo mengine huwa anaona ni kama mzigo usio mhusu thats why hata ikulu hakaliki yeye ni wa ziara tuu, kula bata mkwere! Lakini elewa kuwa historia itakuhukumu
 
Mwendo mnyato tunagonga vina wenzaku tunakuja kwa ajili ya chetu, siku isiokua na jina.
 
JK.jpgTeh Teh teh! I really don't no why my country is so poor.
 
Ili mtu uendelee lazima ukae na kujiuliza ni wapi umekosea, ni kwa nini uko ktk hali hiyo ya umaskini ufanye nini ili ujikwamue, sasa tunapokuwa na rais asiyejua kwa nini sisi wa TZ ni maskini ina maana tuna rais ambaye haumizi kichwa chake kuhusu wananchi wake bali anakula bata kwa kupata uraisi lengo la mkwere lilikuwa ni urais tuu ndo ndoto zake hayo mambo mengine huwa anaona ni kama mzigo usio mhusu thats why hata ikulu hakaliki yeye ni wa ziara tuu, kula bata mkwere! Lakini elewa kuwa historia itakuhukumu

Affirmative action was always racial justice to the cheap.
 
Hebu tumfowadie aiweke kweny kumbukumbu zake muhimu, just onething, mimi sio mwana JK ila mwana JF! Happy boxing day, usijekuta wamekufungia vile vitendea kazi hua vinauzwa kwenye kabox flani na vinakua kama vitatu hivi
 
Raisi kama huyo wa nini? He is a disgrace! Ni bora nchi isiwe na Rais kuliko kuwa na raisi wa ajabu kama JK. Angalia mafisadi wa ndani na wa kimtaifa wanavyotukandamiza waTZ, halafu tuseme tuna kiongozi. Huu ni utani. It is as if he is sedated! Tanzania inakuwa FUKARA kila siku, inapoteza heshima wakati yeye yupo yupo tu, anachekecheka tuu kama .........

Watanzania hebu tuwe serious kidogo, nadhani muda wa kufanya mapinduzi ya kizalendo umefika. I cannot wait to see this country in 5yrs to come!
 
Back
Top Bottom