Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?
Mkuu Silver25,
Kama Rais wako JK analitambua hilo kuwa nchi anayo iongoza mpaka sasa haijui yenyewe kanini ni maskini na Rais mwenye huwa hapendi kuulizwa hilo swali kwani huwa lina mkela sana kwani hajui jibu lake either kwa makusudi nor kkwa kiburi chake hataki kujibu kwani yawezekana naye ni role modal wa janga hilo la umaskini wa TANZANIA,
Nchi hii ili itoke kwenye umaskini ni kuwa na KATIBA mpya ambayo inajari sana maslahi ya nchi hii na kusimamia MUSTAKABALI wa TAIFA hili ndio hapo tutapiga hatua kwenda mbele lakini kwa hatua hii Celina Kombania anambiwa KATIBA inapaswa ibadirishwe na yeye kwa akili yake ilivyo finyu na kung'ang'ania si ha sa badala ya uwajibikaji wa serikali anapinga kwa nguvu zake zote ati KATIBA haina haja ya kubadilishwa kwani inakidhi mahitaji yetu kweli Celina Kombani hastahili kuwa katika wizara hiyo atatupotosha kabisa kweli KATIBA ya 60's,70's,80's and 90's up to now yeye anasema inatustahili kweli hajui ulimwngu unaenda ukibadilika na mambo yanatakiwa kufanyiwa mabadiliko kweli akili za Celina kombani bado zimeganda sana na ndio chanzo cha Tanzania kutojitambua mpaka leo kwanini inakuwa maskini kwasababu ya viongozi kama hawa wanapewa dhamani ya nchi na wanashindwa kuwa wabunifu na kukataa mawazo ya watanzania kweli madaraka kilevi kibaya sana.
Katika Baraza jipya mwaziri wa kujiuzuru mapema kabisa wala bila ubishi ni CELINA KOMBANI na NGELEJA hawajui wanalo lifanya kabisa hawa hawaitaji vote of no confidence hawa ni wawajibike live kwa akili ya mtu wa kawaida haiwezekani kuwa na mikataba mibovu naye bado anaikalia tuu alafu alaiapa kuwa ataitetea KATIBA na katiba yenyewe bado inamapungufu na bado hata hawaja itendea haki
