Wa-Africa Kusini ni Matajri ? Wahindi ni Matajiri ? Siongelei South Africa kama nchi au India kama nchi bali majority ya wa-africa kusini na wahindi....
In short tukitaka model ya kufanya / kufuata the best way is not to be like Indians au South Africans The Gap in classes ni ya kutisha na kuna masikini wa kutupwa (jambo ambalo ni hatari kwa security ya nchi)
Kuhakikisha hakuna absolute poverty, safety net kwa peasants angalau wapate basic needs itapelekea kuwa na masikini wachache sana na middle income wengi na wale ambao ni wapiganaji / exceptional / entrepreneurs ndio watakuwa matajiri wa kutupwa
Na unafanya hivyo kwa kuhakikisha hauangalii Economical Factors pekee bali unaangalia pia Social, Environmental factors..., Unatumia bottom up approach kwa kuhakikisha watu wana atleast income ya basic needs let alone disposable income ukifanikiwa hivyo utakuwa na Sustainable Developments

Nchi zote zinahangaika kufanya hivyo na kufika hapo ndio maana kila siku UN inahangaika na kelele za mazingira, serikali zinahangaika na migomo ya kila siku..., wanasiasa ngonjera zao zimekuwa ni vipi ajira zinapatikana, uchumi umekuwa kama yoyo kwa kupanda na kushuka....
Hivyo sisi ambao tupo bado safarini na hatujafikia peak ya kina India ambao kuna wanaokula na kusaza wakati majority hata harufu tu ya chakula hakuna bali harufu ya uchafu wa hao waliosaza inabidi kuchukua modal ambao ni inclusive..., ni kama unaona mwenzako amechukua njia fulani alafu mbele kuna miiba unasema twende tu sababu mbele zaidi atapata tunda..... narudia tena modals za India, South Africa and the like inaweza ikawa ni case study ya what not to do....
Mfano mwingine tunachofanya sasa ku-privatise kila kitu even our commanding heights of our economy (bandari n.k.) tugeweza pia kuangalia waliotangulia UK je wamefanikiwa au wananungunika...
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa vipi. Kwa msaada huo ninaleta extract kutoka kwenye Gazeti la the Guardian kuona mtizamo wao kuhusu...
www.jamiiforums.com
Thus haya mambo hayana one size fits all inabidi kuchukua huku na kule kulingana na mazingira yako....

Mwanaume ulokamilika unasimama mstari mreefu ili uchague kuongozwa na mwanamke!
Shida zote hizi kichwa cha nchi kiwe mwanamke!!! Kwelii!
Tena toka nchi flani ambayo wanawake hutakiwa kutulia nyumbaniii
Hahahahaaaahaaa...... Dah!!!
Acha muwe maskini wakutupwa toka shamba labibi.
Nchi ya wakulima huyo mwanamke hajui hata jembe... Hatujafikia huko msijifananishe na wazungu.
Sina ubaguzi lkn mwanamke asiwe Top kabisa aliumbwa awe msaidizi siyo kutawala hilo nalisimamia mwanzo mwisho...Full Stop!
Wewe kama unadhani kuna nchi inayofuata mfumo fulani kulingana na theory zinasema nini nadhani umepotoka duniani hakuna nchi ya kijamaa 100 percent wala kipebari 100 percent zote ni mixed economy USA yenyewe ambayo watu wanasema ni mabepari kuna Social Welfare ya kufa mtu..., China ni Social Market.., USA wanaongelea Free Market mabenki yamefanya faulo ni Pesa za mlipa Kodi zimetumika kuokoa hizo Banks...
Kwahio narudia tena kama ulikuwa haujui duniani uchumi wote ni mixed and its Socialism which gave capitalism a Human Face....
Mwisho kabisa kila aina ya uchumi inategemea na wakati husika kuna kipindi ukabaila ulikuwa necessarily.., after industrial revolution capitalism was inevitable wachache wenye motivation kuweka ku-create wealthy na kuajiri watu ili kuwa na trickle down kwa wengine..., Sasa hivi technology na automation ambapo human labor sio kigezo tena capitalism is bound to fail na utakuja mfumo tofauti na huu (sababu capitalism as is now is not fit for purpose)

Wewe umeuliza mimi kama mjamaa au mkomunisti nimekujibu hayo yote yanapatikana on paper duniani hakuna nchi 100 percent socialist au communist, zote ni mixed economies...\
Mwanzo kabisa umesema ni nchi gani inayofuata mfumo niliokwambia (wa kuhakikisha kuna Social, Economical na Environmental Aspects) Jibu nimekwambia dunia nzima nchi zote ndio target yake hio...; jambo ambalo nchi kama India zenye extreme poverty pamoja na Uchumi wao kuonekana mzuri on paper zime-fail kwa kiasi kikubwa sana. na nchi kama USA / UK inajaribu kuwa wajamaa practically kuliko sisi so called wajamaa on paper (Social Welfare)
Wewe umeuliza mimi kama mjamaa au mkomunisti nimekujibu hayo yote yanapatikana on paper duniani hakuna nchi 100 percent socialist au communist, zote ni mixed economies...\
Mwanzo kabisa umesema ni nchi gani inayofuata mfumo niliokwambia (wa kuhakikisha kuna Social, Economical na Environmental Aspects) Jibu nimekwambia dunia nzima nchi zote ndio target yake hio...; jambo ambalo nchi kama India zenye extreme poverty pamoja na Uchumi wao kuonekana mzuri on paper zime-fail kwa kiasi kikubwa sana....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.