Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Na bahati mbaya sana yuko kwenye team flan/syatem. Hata kama tutalia machozi ya damu, haezi ng'olewa. Huu ndo wakati wao hawa jamaa. Tufunge mikanda tu mpaka awamu hii iishe
 
Huyu kiumbe sijawahi kumuelewa hata dakika moja toka aingie sekta hii,Na nina mashaka soon umeme utapanda bei kwa unit,mark my words.
 
Linganisha Makamba na Kalemani kwanza
Niwalinganishe kwa umri,dini,kabila au kwa kipi? Magufuli aliwajaza wasukuma na wakristo kwenye baraza lake la mawaziri lakini hamkusema kitu ndio kwanza mkawa mnadai vyeo havizingatii dini ya mtu bali inaangalia vigezo vingine.
Wakristo wa Tanzania jaribuni kuwa na subira na uvumilivu.
 
Tulikuwa hatujapata somo la uzalendo toka kwa JPM, sasa wengi wanaelewa haikuwa ni sahihi ilifanywa kusudi. Ni hilo tu! RIEP JPM
 
Huyu kiumbe sijawahi kumuelewa hata dakika moja toka aingie sekta hii,Na nina mashaka soon umeme utapanda bei kwa unit,mark my words.
Daah,

Umeniongezea kitu hapa, maana ni juzi tuu alikuwa akisema kuwa kila kitu kitapanda, maana yake alikuwa akijaribu kutuandaa kwa namna Fulani hivi
 
Unaupeo mdogo saana wa kuelewa na kupambanua mambo!

Kama ni udini, kwa nini isiwe kwa Aweso, kwa nini isiwe kwa Jafo, kwa nini isiwe kwa ummy, kwa nini isiwe kwa katibu mkuu kiongozi, kwa nini isiwe kwa Majaliwa na wengineo wengi!

Udini unao wewe kichwani mwako, na watanzania wanapoona kiongozi wao hatendi sawasawa, wakisema, ni vizuri hivyo vyeo vikatenganishwa na dini zao,

Kwa sababu uongozi hauna dini we mdini
 
Hii wizara inahitaji mtu makini na mtendaji na sio mjanja janja anayependa porojo na show off kama huyo jamaa.

On top of that atuambie kama karejesha zile 1.2 bilion za NSSF .
 
Hii wizara inahitaji mtu makini na mtendaji na sio mjanja janja anayependa porojo na show off kama huyo jamaa.

On top of that atuambie kama karejesha zile 1.2 bilion za NSSF .

Utaambiwa una donge.Makamba alitakiwa kupewa wizara ya Michezo au Wizara ya wakina na Mama na makundi maalumu.
 
Kuna wakati vitendo humtangaza MTU zaidi kuliko nguvu ya maneno kama alivyo huyo jamaa
 
Kwa hiyo naibu waziri wa ardhi anapendwa kuliko Janu?
 
Wote uliowataja ni Mawaziri wa hovyo.Ni watu wasioipenda nchi yao na badala yake wanaangalia maslahi yao.Makamba in particular ana more disadvantages.Anajiona mjuaji kumbe hajui,alimnanga Magufuli kipenzi cha Watanzania,na wengi hatukulipenda jambo hili.Mwisho alikuwa karibu sana na Kikwete ambaye wengi tulimuona ni Rais asiyefaa.Hili nalo lilimchafua kwa kiasi kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…