Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Sina neno jepesi la kutumia,hivyo nikuombe radhi kwa kutumia neno hili.....
1.ni uwongo unasema watu hawamtaki January.
2.87% ya vijana vyuoni wanamtaka
3.Tanzania hatuna utamaduni wa kuachia ngazi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mpiga dili. Anafikiri kutolea maelezo mazuri matatizo badala ya utatuzi wake ndio kujua na utendaji bora..bure sana huyo kipara ngoto.
 
Namkubali sana Makamba. Wengi wanaomchukia ni wapinzani wake na sababu ya chuki za ni hofu.

Wanamuogopa sana na wanajua kama kawazidi kila kitu.
 

Kijana mwisho ni umri gani . ?
 
Huyu Jamaa anajiona smart balaa nilimwangalia kwenye tension kali ndani ya bunge alikuwa anaongea kaweka mikono mfukoni pfyuuuuu. Pili anajifanya anajibu scientifically sababu alizotoa mwanzo kuhusu kukatika kwa umeme zinabalance na kupiga ramli badala ya science anayojidai kutumia kila anapojibu. Mwisho wizara inaboronga chini yake .watu wake ukipiga simu kuulizia kuunga umeme ni rushwa tupu hawana maana kabisa .it happened to me in less than a month Tanesco wana Rushwa mbaya kwenye mchongo wa gharama zilizoongezeka. Nachukia rushwa from my heart so sipendi kiongozi asiyejali issue za rushwa
 
Mmeshazoea ushenzi wa kijamaa.....kila kitu ni bure au serkali itaingilia na kuwafanyia bure......
Hamtaki kuambiwa ukweli , "There is no such thing as Free Lunch"
 
Wengi humchukia huyu jamaa bila sababu zenye ushahidi,lakini mimi naamimi kuwa atawa orive wrong siku za mbeleni
 
Umeshindwa kujibu unaleta matusi, acheni udini nchi hii ni ya wote.
 
Kama ni lazima Makamba awe waziri basi ampeleke Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo ili awe anakwenda lupaso kila jmosi na jpili atoe porojo zake baada ya game kuisha.

Na tunamkumbusha Samia nchi hii haitawaliwi na familia tatu ya kikwete, makambna na mwinyi.Kwa maoni yangu ya jumla waziri wa nishati anatakiwa awe kijana shupavu na mzalendo.
 
Hao ni wapiga domo tu
 
Ni sababu aligombea urais so wengi wanajua atagombea tena na cause anabebwa basi anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungani.

So kuna wanaomtaka kama waziri ila wakikumbuka kwamba yupo njiani kuelekea urais wana hate cause hawamtaki kama rais.
 
tunamtaka labda weye na genge lako.
 
siku tukimpa nchi mtu kama makamba, tutakuwa tumeitupa nchi yetu shimoni, anataman kuongoza bt hana nia bali matamanio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…