Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

Hii dunia huwezi kumfurahisha kila mja!Kuna mtu anakusalimia unadhani Ni heshima kumbe nia na madhumuni Ni kukutapeli au kukuibia usiamini Sana kwenye hizo masuala ya salamu salamu Ni miavuli ya maovu sometimes...Nitasalimia kwa kiasi pale inapobidi Ila siwezi kuwa mtumwa wa salamu,maana binafsi usiponisalimia najisikia vizuri tu
 
Kuna hii misconception kwamba salamu ni security au investment, kwamba itakulinda ukikwama au itakusaidia ukipata shida. Guys, lets think straight, hayo ni mambo ya kale. Otherwise usalimie watanzania wote million 65, kila saa
 
😀😀😀
Utakwama, Ila fanya utakavyo,

Mimi mwenyewe sipendi masuala ya kusalimiana salimiana Ila nasalimia kulingana na mazingira.
Kutokupenda Jambo Fulani haikufanyi usilifanye Kwa ajili ya wengine, huo unaitwa ubinafsi.
Siwezi kukwama kwa kutosalimia umma,Nitasalimia walengwa inapobidi sio kila mpita njia!haina tija kwenye mustakabali wa Maisha ya kila siku
 
Shauri yako, hapa kwetu Afrika salamu ni uwekezaji mkubwa.
 
Kuna hii misconception kwamba salamu ni security au investment, kwamba itakulinda ukikwama au itakusaidia ukipata shida. Guys, lets think straight, hayo ni mambo ya kale
Nimeona hata Robert Heriel ananiambia neno NITAKWAMA!hivi unadhani ukisalimiasalimia ukikwama wanakukwamua hao?salamu sio security ya kutatua changamoto zako!mi naona salamu nyingi ni namna ya kujifanya unajali watu while ndani ya mtu kaficha chuki na unafiki... Tusalimiane palipo na umuhimu wa kufanya hivyo
 
Hakika, na nchi yetu ndiyo makao makuu ya unafki duniani
 
Tunasalimia, tunakusalimia halafu tunakusalimia tena
 
Usije kulalamika siku moja umepata ajali na watu wakapita tu bila kukupa msaada kisa hawakujui!
 
"Habari yako? umeshindaje? za mihangaiko? wanao hawajambo? vipi huko kwenu umewaachaje? unaelekea wapi? vipi huko mjini hawajambo? Naona unazidi kupendeza tu,Sisi tupo bhana,maisha magumu tu"
Umesahau kumalizia hapo baada ya Naona unazidi kupendeza tu,sisi tupo bhana TUNAPAMBANA!utasema wapo Ukraine🤯
 
Siwezi kukwama kwa kutosalimia umma,Nitasalimia walengwa inapobidi sio kila mpita njia!haina tija kwenye mustakabali wa Maisha ya kila siku

Sasa utasalimiaje wapita Njia?
Mkoani hakuna wapita Njia hasa Kijijini kwenu.
Wapita Njia wapo Huko Mijini

Alafu usiwe hivyo, ujue nilikuwa ninampango wa kukuchumbia,
 
Usije kulalamika siku moja umepata ajali na watu wakapita tu bila kukupa msaada kisa hawakujui!
Code za kishamba sana, mambo ya kipori'pori. Ukipata ajali watu wanaanza kwa kukuibia, wanakupukutisha simu na vitu vingine vya thamani na ukiwa na hela nyingi wana kumaliza. Tena huko ni porini, vijijini
 

Kama uko mjini upo sahihi lakini Kanuni hiyo haitumiki Kijijini.

Nasisitiza, usiwe hivyo Mpango wangu usije ukaishia njiani
 
Sasa utasalimiaje wapita Njia?
Mkoani hakuna wapita Njia hasa Kijijini kwenu.
Wapita Njia wapo Huko Mijini

Alafu usiwe hivyo, ujue nilikuwa ninampango wa kukuchumbia,
😂😂😂😂Kwanza sitaki mchumba anaesalimia salimia Sana Nina wivu!

Halafu leo umeniudhi Sana kutetea hili suala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…