Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Rombo Arusha
Rombo Tanga
 
Hao Masingle maza uliwaacha salama kweli?
 
Wewe kumbe haunazo kabisa,majumba ya wachaga yapo vijijin huko tembelea vijijin ujionee,nipatie picha za ulikotembelea
Hizi ndizo nyumba zilizopo vijijn
 
Sawasawa kagera wanafunzi wetu
 
Sasa kama hawaugui waende kushangaa wodi au
 
Mkuu, ni kweli Kilimanjaro kwa ujumla wamejitahidi kujenga nyumbani, ingawa majumba mengi ni empty na kupangilia miji na kutunza mazingira ila miji bado sana Mkuu.
Sasa miji ya Nini? Miji si ni huko mkoani? Sisi tunadhamin vijijin Zaid,wewe ni Shahid umeona jinsi vijiji vimejaa mijumba kila Kona na mandhari sad,Huduma nyingi zipo vijijin Hakuna haja ya kwenda mjin
 
Rombo iko nyuma sana. Nyumba za miti na tope ni nyingi sana. Hali ngumu ya maisha inafanya wakazi wake kunywa pombe Kwa wingi kuondoa sonoma
Nyumba za kisasa ni nyingi kuliko zisizo za kisasa
Takriban 90% ni nyumba za kisasa vijijin
 
Utaniruhusu nitume picha za Nyumba za majani na udogo za hapo mashati Rombo kuelekea Kilaeni Secondary?
 
Gharama za maisha inategemeana,rombo ni wilaya ya kibiashara,kule mtu anaefanya Bodaboda tu unakuta Ana maendeleo Sana,kwahyo usipochakarika utabaki unahesabu magari
Vijana wengi kule wale ambao hawakutoka nj'e ya Rombo ni vichaa huwezi amini.

Wasifie wasioijua Rombo.

Mashati na hapo useri utawahurimia vijana hawaogi, hawafui, hawabadilishi nguo.

Wanafanya vibarua wakipata hela ni pombe. Ni wachache wapambanaji na wanaorudisha maendeleo home hawaishi hapo. Wasiojua Rombo ndio uwadanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…