Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Rombo ni wilaya ya kwanza tz vijiji vyake vyote kuwa na umeme 100%.

Rombo Hakuna nyumba ya nyasi hata moja ,route za mabasi ya mikoan kuja ROMBO ni nyingi mno hii inaashiria mzunguko mkubwa wa pesa.
  • Rombo_dodoma(shabiby)
  • Rombo mwanza(mghamba)
  • Rombo moro (Bm)
  • Rombo singida(mtei exp)
  • Pia bus za ROMBO Dar Ni zaidi ya 10
Rombo Arusha
Rombo Tanga
 
vijana wa rombo ni wavivu ,dada zao ni mama huruma,yaani hawa si wachoyo kabisa ukimuomba anakupa bila shida mahaba. Ukioa kule basi kuchapiwa lazma maana kujipendekeza wanaongoza.suala la ulevi rombo sijui tatizo n nn,aise rombo wanatisha.wanawake wengi wa rombo ni ma single maza,nadhani kwa u single mother. Rombo wanaongoza,sijui inshu ni huu ulevi au tatizo ni Nini!
Hao Masingle maza uliwaacha salama kweli?
 
Niko hapa Rombo Mkuu, ni pa kawaida mnoooo.

Unapiga picha za hapa na pale huko Tarakea halafu unaleta stori za uongo humu.

Hivi hapa Rombo utaita ni mjini kweli ???

Tena nimegundua wewe mwenyewe hujawahi kufika Rombo.

Nimepita Same, Mwanga, Moshi na sasa Rombo yaani ukiacha Moshi mjini, Kilimanjaro hakuna maajabu.
Wewe kumbe haunazo kabisa,majumba ya wachaga yapo vijijin huko tembelea vijijin ujionee,nipatie picha za ulikotembelea
Hizi ndizo nyumba zilizopo vijijn
FB_IMG_16256296756671646.jpg
 
Wilaya ya muleba mkoani kagera ina hospital nne

Rubya hospital
Kagondo hospital
Ndolage kamachumu hospital
Izimbya hospital

Wilaya ya bukoba kagera
Bukoba district hospital
Bukoba council hospital
bukoba regional hospital
Cosad hospital
ndolage bukoba hospital

Wilaya ya misenyi kagera
mugana hospital
kajunguti hospital
Misenyi district hospital
Kagera sugar hospital


Nk mk.


Kimsingi mkoa wa kagera wilaya zote zina hospital zaidi ya moja
Sawasawa kagera wanafunzi wetu
 
Labda ni uhitaji maana lazima vituo vifunguliwe kwa uhitaji kwa huko Rombo unaweza fungua vituo vya Afya vikabaki Tupu/Empty / NIL sasa sijui ni ubahili wa wachaga kwenye matibabu?...Hivi ile Hospitali ya Ngoyoni ukiacha Ile ya Mkuu nayo ina wagonjwa wengi? kwa anayefahamu..........
Sasa kama hawaugui waende kushangaa wodi au
 
Mkuu, ni kweli Kilimanjaro kwa ujumla wamejitahidi kujenga nyumbani, ingawa majumba mengi ni empty na kupangilia miji na kutunza mazingira ila miji bado sana Mkuu.
Sasa miji ya Nini? Miji si ni huko mkoani? Sisi tunadhamin vijijin Zaid,wewe ni Shahid umeona jinsi vijiji vimejaa mijumba kila Kona na mandhari sad,Huduma nyingi zipo vijijin Hakuna haja ya kwenda mjin
 
Rombo iko nyuma sana. Nyumba za miti na tope ni nyingi sana. Hali ngumu ya maisha inafanya wakazi wake kunywa pombe Kwa wingi kuondoa sonoma
Nyumba za kisasa ni nyingi kuliko zisizo za kisasa
Takriban 90% ni nyumba za kisasa vijijin
 
Utaniruhusu nitume picha za Nyumba za majani na udogo za hapo mashati Rombo kuelekea Kilaeni Secondary?
 
Gharama za maisha inategemeana,rombo ni wilaya ya kibiashara,kule mtu anaefanya Bodaboda tu unakuta Ana maendeleo Sana,kwahyo usipochakarika utabaki unahesabu magari
Vijana wengi kule wale ambao hawakutoka nj'e ya Rombo ni vichaa huwezi amini.

Wasifie wasioijua Rombo.

Mashati na hapo useri utawahurimia vijana hawaogi, hawafui, hawabadilishi nguo.

Wanafanya vibarua wakipata hela ni pombe. Ni wachache wapambanaji na wanaorudisha maendeleo home hawaishi hapo. Wasiojua Rombo ndio uwadanganye
 
Back
Top Bottom