Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

Usiuendekeze umasikini wako, jiongeze
Unatumia simu ya million mbili mi nitumia tecno nimewekeza hiyo pesa ya kununua simu million 2 pengine halafu mwisho wa siku tukutane baada ya muda tuone nani smart Kati yako wewe unae ona ujanja ni kumiliki smartphone kali, fool jitambue.

Sasa endelea kununua kila fashion ya mavazi yanayotoka na kila brand ya simu.
Uendelee kupiga picha una upload unatafuta location nzuri.
Karibu walau kwangu mazingira yatakufaa sana upige picha uweke tiktok.
 
Same reply different year 🀣🀣
 
Hiyo tekno kwani haina JF? πŸ˜€

Kiufupi, kuna watu hawapitwi! Ukishindana nao, unapotea. Kila update ya simu anataka kuwa nayo. Cha ajabu wanaomiliki simu za gharama wengi wao wanaongoza kwa kuomba omba vocha na kupiga mizinga!
 
Niliwahi kusoma sehemu kwamba mtu mweusi ni royal sana kwa bland,
Inasemekana wajapan huwaona Waafrika kama hamnazo,na viongozi wao waliishawahi kutamka hadharani,lakini mtu mweusi hata atukanwe vipi hawezi kuacha kununua Toyota!
Mwafrika huona ufahari akimiliki Vitu vya bei kubwa,Benz,BMW,Lexus,Samsung,vogue,hufikiri kuwa na vitu vya bei mbaya ni kuonyesha ubora wake,Elimu yake,status,!
Hivi umeishawahi kujiuliza kwanini,kule USA,wanaocheza basketball wengi ni black Americans,lakini hakuna timu inayomilikiwa na mtu mweusi,hata makocha wengi ni wazungu,!!sio kwamba Waafrika hawana pesa,wao pesa zao ni kununua na kumiriki vitu vya gharama kubwa,hiyo kwao ndio la muhimu,kujionesha kuwa Bora kuriko wengine,
Sasa unadharau tekno,Kisa Samsung,apple,nk,hizo simu zote hakuna inayotengenezwa Afrika,
Hata ikitokea Nchi moja ya Afrika ikatengeneza gari(Nigeria)au simu,nchi nyingi za Afrika zitaona bora kwenda japan kununua matoyota,kuliko kununua model ya kiafrika!!
Mtu mweusi ni ngozi ya Tako kabisa!!!
Sasa imagine kenge mmoja anajiona Bora kwa vile anamiriki apple,Samsung!!
Jione Bora kwamba,nimemaliza chuo,nikapiga mishe zangu sasa namiriki kampuni,nimeajili vijana 10+Nina bilions kadhaa benk!!sio kujivunia ka simu,fuckers
 
Bado najiuliza wali-halalishaje simu kuuzwa Bei hizo na kutushawishi kuona Ni kweli zinastahili.
Same Android version, UI zinaendana..... BRANDING UNIT zimejua kupush button flan vichwan mwetu.
Africa kumiliki simu ya Bei kubwa Ni sign ya utajiriπŸ‘€
 
Nakuunga mkono kwenye vyote Ila sio itel
 
Mkuu umeandika kwa hisia sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesiliba
 
Hapa hatufanyi biashara, tunaongezeana maarifa na ufahamu. Ningeenda kutumia mahali pengine nje na JF ningetakiwa niseme.
Ndio unatakiwa kusema umetoa wapi maana wewe sio fundi, hilo ni bandiko la watu, jamaa katumia akili kujitangaza halafu kindezi tu unataka mseleleko dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…