sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa ambao walikuwa aidha ni wakimbizi, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k na kuwasafirisha kwenda zanzibar kuwauza sokoni aidha wakatumikishwe nchi za nje ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu.
Leo hii utashuhudia hivi vituko
1-watakwambia waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu ni mweusi au ana rangi ile maji ya kunde ya kisomahli hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu ila atalazimizha hata uarabu wa nafsi,
2.akiwa ni mwarabu shombe / mchanganyiko mfano wale wa kizazi cha waarabu walioingilia kinguvu mabinti watumwa, hapo hataki kabisa kusikia ukimwambia ana asili ya mwarabu na mwafrika, ule upande wa kiafrika hataki kuusikia kabisa, mnaweza kugombana.
3-wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
4. wengi wamebadili majina yote yawe ya kiarabu, yale ya ukoo wameyafukia, utawakuta kina Abdul Mohamed, Ally Saleh, Abubakar Sharriff, n.k
5-Nilisoma habari >> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe vichwa flat kama waarabu na barakashia zitumbukie kirahisi.
6-Kwa wazanzibari wengi jiji la Muscat lililopo nchi ya Oman ni kama pepo, humwaambii kitu aisee, hilo jiji kwao ni zaidi ya London, New York, Paris, n.k
7. yani akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka tatu na anatafta mwanaume mpya, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama mchele ukimwagia kuku.
8-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.
9. Ukimsema vibaya mwarabu yeyote wanafikiri unamtukana ndugu yake Mtume, hii hali imefanya wengi kuona waarabu wote watakatifu,
Cha kushangaza mwarabu ni kama hata huo undugu hautaki, labda uwakute wapo karibu na viongozi wa juu kwa lengo maalum la biashara zao tu, huwa hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi na wale waarabu pori / chotara
hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watabisha ni video ya uongo.