View attachment 2193296
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba babu zao walitolewa huku bara na maeneo ya jirani wakiwa kama wakimbizi waliodakwa, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k hawa ndio waliuzwa kwa wafanya biashara wa utumwa kama Tipu tipu na kisafirishwa kwenda Zanzibar kwajili ya kuuzwa kuwa watumwa nje ya nchi ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu,
Leo hii utashuhudia hivi vituko 😂😂
1-Utasikia na kuzoea sana kuambiwa waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu mweusi hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu.
2-Nilisoma habari
>> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe flat kama waarabu na barkshia zitumbukie kirahisi.
3-Wengine ndoto zao ni bora waishi uarabuni kufanya kazi za ndani kuliko kwenda marekani.
4-Mzanibari anaweza akawa hayajui majiji kama New york, Paris, London. ila yani majiji ya Dubai na Muscat atayajua tu.
5-yani huko Oman akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka anatafta mwanaume, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama binti mdogo.
6-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.
7.huwaona waarabu kama wakamilifu, wengi wanadhani kila mwarabu ni mstaarabu na hatendi makosa. hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watatetea ngozi ya mtume haiwezi fanya hivyo, video ya uongo.
Mbaya zaidi hata hapo Zanzibar waarabu wapo kivyao sana, kwenye kuchangamana labda ni ile kuwa na viongozi wa juu ili dili zao ziende, hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi ama waarabu wa pori (wapo kama salama),