Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Mleta Mada umerogwa, sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kingereza ni lugha ya dunia unaishi wapi mwenzetu?Ni Kama mabrazamen na masista du wa huku bara tu kutwa kuchanganya kingereza na kiswahili na ukimwambia "mwanangu we mzungu sana " anaona unyama sana kumbe fala mmoja
Wote mnaojifananisha na wazungu na waarabu ni mafala tu
Mwafrika kwa mwarabu nikuwa beki tatu au mkata nyasi full stop!Mwafrika aoe binti wa kiarabu? dah hapo ni shughuli pevu aisee... kiukweli waarabu ni wabaguzi sana kwenye swala la kuoana.
Huu ni uchochezi😅😅😅View attachment 2193296
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba babu zao walitolewa huku bara na maeneo ya jirani wakiwa kama wakimbizi waliodakwa, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k hawa ndio waliuzwa kwa wafanya biashara wa utumwa kama Tipu tipu na kisafirishwa kwenda Zanzibar kwajili ya kuuzwa kuwa watumwa nje ya nchi ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu,
Leo hii utashuhudia hivi vituko 😂😂
1-Utasikia na kuzoea sana kuambiwa waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu mweusi hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu.
2-Nilisoma habari >> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe flat kama waarabu na barkshia zitumbukie kirahisi.
3-Wengine ndoto zao ni bora waishi uarabuni kufanya kazi za ndani kuliko kwenda marekani.
4-Mzanibari anaweza akawa hayajui majiji kama New york, Paris, London. ila yani majiji ya Dubai na Muscat atayajua tu.
5-yani huko Oman akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka anatafta mwanaume, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama binti mdogo.
6-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.
7.huwaona waarabu kama wakamilifu, wengi wanadhani kila mwarabu ni mstaarabu na hatendi makosa. hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watatetea ngozi ya mtume haiwezi fanya hivyo, video ya uongo.
Mbaya zaidi hata hapo Zanzibar waarabu wapo kivyao sana, kwenye kuchangamana labda ni ile kuwa na viongozi wa juu ili dili zao ziende, hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi ama waarabu wa pori (wapo kama salama),
Ile huwa inanichefua sana japo nami nilizaliwa kwenye uislam.Kuna watu weusi huwa nawaona wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
Na ukiwasema wayahudi kina nani hufikiri unatukana dini ya masihi?Ukimsema vibaya mwarabu yeyote, wazenji wanafikiri unatukana dini ya mtume.
Uarabu sio rangi ya ngozi,asili ya waarabu ni weusi,huko Uarabuni kuna waarabu weusi wengi tu.Kuna watu weusi huwa nawaona wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
ni umewakamiaView attachment 2193296
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba babu zao walitolewa huku bara na maeneo ya jirani wakiwa kama wakimbizi waliodakwa, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k hawa ndio waliuzwa kwa wafanya biashara wa utumwa kama Tipu tipu na kisafirishwa kwenda Zanzibar kwajili ya kuuzwa kuwa watumwa nje ya nchi ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu,
Leo hii utashuhudia hivi vituko 😂😂
1-watakwambia waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu mweusi hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu.
2-wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
3. wengi wamebadili majina yote yawe ya kiarabu, yale ya ukoo wameyafukia, utawakuta kina abdul mohamed, ally saleh, abubakar sadam, n.k
4-Nilisoma habari >> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe vichwa flat kama waarabu na barakashia zitumbukie kirahisi.
5-Kwa wazanzibari wengi jiji la Muscat lililopo nchi ya Oman ni kama pepo, humwaambii kitu aisee, hilo jiji kwa ni zaidi ya London, New York, Paris, n.k
6. yani akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka tatu na anatafta mwanaume mpya, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama mchele ukimwagia kuku.
7-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.
8.huwaona waarabu kama wakamilifu, wengi wanadhani kila mwarabu ni mstaarabu na hatendi makosa. hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watabisha ni video ya uongo.
umewakamiaCha kushangaza mwarabu ni kama hata huo undugu hautaki, labda uwakute wapo na viongozi wa juu ili dili zao ziende, huwa hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi na wale waarabu pori
Ndo maana kanye west kuna kipindi aliwahi sema Slavery was a choice kwa waafrica haiwezekani watawaliwe miaka kibao ivyo, nilichogundua ni kwamba akili ya binadamu inajijenga kutokana na anavyokuzwa au kulelewa , mtu kama kazaliwa utumwani au kazoea utumwa ni ngumu kumuondoa na ndo maana hadi sa hivi kuna morden slavery na watu wanaichekelea na kumuona mtu mjinga anayeondoka utumwaniUle ni ujinga tu. Katika saikolojia ya binadamu ni jambo la kawaida kwa fukara au mtu anayetumwa/kutawaliwa/kuteswa kujipendekeza kwa anayemtesa na kumuona wa maana huku akiamini hakuna sehemu sahihi ya yeye kwenda kupata ahueni ama furaha maishani zaidi ya pale anakoteswa. Hali hii iliwatokea watumwa weusi wa Marekani pale walipopata uhuru, wengi wao walikataa kuwa huru walitaka waishi tu kwa utumwani kwani waliamini utumwa ndiyo njia pekee ya uzima na ndicho wanachokifanya hawa ndugu zetu Wazanzibari. Utakuta mtu mweusi kama mkaa anajiita ama kujifanya mwarab huku akiona sifa, mtu huyu huyu anasahau mateso ambayo waarab waliwafanyia mababu na mabibi zetu mpaka Mze Karume kwa ujasiri akaja na wenzake kuja kuwakomboa hawa ndugu zetu kutoka kwenye ile hali ya utumwa na unyanyapaa. Wamekuwa huru toka enzi za mapinduzi lakini hapo hapo wanalalamika kwanini wametengwa na ndugu zao waarab. Wazanzibari kwa kweli wanahitaji maombi waondokane na huu ujinga walionao na ndiyo maana shule ni muhimu sana kuliko madrasat. Mtu unaenda shule kujifunza vitu na sana sana historia yako na si historia ya Saudi Arabia ama Roma/Vatican. Tafadhali tufunge kwa siku 7 tuwaombee nduge zetu Wazanzibari wapate kuelemika.
make hapo kwanza nichekeUarabu sio rangi ya ngozi,asili ya waarabu ni weusi,huko Uarabuni kuna waarabu weusi wengi tu.
Sawa nenda kawaambie hivyo uwasikie watavyokujibuUarabu sio rangi ya ngozi,asili ya waarabu ni weusi,huko Uarabuni kuna waarabu weusi wengi tu.
Germany,France,Spain, Argentina,Russia wanaongea kingereza? Au hawapo duniani? Acha ushambaHicho kingereza ni lugha ya dunia unaishi wapi mwenzetu?
Akili wanazo ila vichogo vyakuwekea medula ndio hawanaHawana akili