Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264



Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa ambao walikuwa aidha ni wakimbizi, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k na kuwasafirisha kwenda zanzibar kuwauza sokoni aidha wakatumikishwe nchi za nje ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu.

Leo hii utashuhudia hivi vituko

1-watakwambia waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu ni mweusi au ana rangi ile maji ya kunde ya kisomahli hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu ila atalazimizha hata uarabu wa nafsi,

2.akiwa ni mwarabu shombe / mchanganyiko mfano wale wa kizazi cha waarabu walioingilia kinguvu mabinti watumwa, hapo hataki kabisa kusikia ukimwambia ana asili ya mwarabu na mwafrika, ule upande wa kiafrika hataki kuusikia kabisa, mnaweza kugombana.

3-wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!

4. wengi wamebadili majina yote yawe ya kiarabu, yale ya ukoo wameyafukia, utawakuta kina Abdul Mohamed, Ally Saleh, Abubakar Sharriff, n.k

5-Nilisoma habari >> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe vichwa flat kama waarabu na barakashia zitumbukie kirahisi.

6-Kwa wazanzibari wengi jiji la Muscat lililopo nchi ya Oman ni kama pepo, humwaambii kitu aisee, hilo jiji kwao ni zaidi ya London, New York, Paris, n.k

7. yani akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka tatu na anatafta mwanaume mpya, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama mchele ukimwagia kuku.

8-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.

9. Ukimsema vibaya mwarabu yeyote wanafikiri unamtukana ndugu yake Mtume, hii hali imefanya wengi kuona waarabu wote watakatifu,

Cha kushangaza mwarabu ni kama hata huo undugu hautaki, labda uwakute wapo karibu na viongozi wa juu kwa lengo maalum la biashara zao tu, huwa hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi na wale waarabu pori / chotara

hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watabisha ni video ya uongo.
 
Ni kutokujitambua kulikotokana na propaganda za dini walizoletewa.
Waislamu wanajiona wako karibu na waarabu na wakristo wanajiona wapo karibu na wazungu na wayahudi wa israel ya 1948.

Waafrika bado wamelala tu na bado wanaendelea kutafunwa na dini bila kujua hakuna mwenye nafuu.
 
Inferiority complex.
 
Wew nawe shobo na wazungu acha na wale wavaa mitumba wanavyojiona wazung

hakuna haja ya kuwa na shobo kwa wazungu, simsifii mzungu ila huu ndio uhalisia

-ulaya, marekani, canada, australia, uchumi wao ni mkubwa kuliko huko uarabuni.
-kiteknlojia wapo mbali mno, hata hizi twitter, facebook, instagram, google, n.k wameumiza vichwa wao.
-ndio wanaoongozea kwa kutoa misaada duniani,
-nchi zao kuna uhuru wa kisiasa, dini, n.k.
-wanajali sana wanyama, Kutojali wanyama ni sawa nakumtemea mate usoni alieviumba.

Hata hao waarabu nao wanasaidiwa vitu vingi tu na wazungu, kwenye vita ndio kabisa hata sitaki kuzungumzia.
 
cha kunishangaza zaidi wanawaona waarabu ndugu zao wa damu kuliko hata wabara ilhali wanasahau walisombwa kwa makundi kupelekwa visiwani wakitokea huku bara na maeneo mengine ya jirani kwa mijeledi, fedheha na manyanyaso makubwa, ila leo hii mtanzania bara ukienda kule utaangaliwa kwa jicho la husda, lakini mwarabu atapokelewa kwa bashasha zote
 
Ni Kama mabrazamen na masista du wa huku bara tu kutwa kuchanganya kingereza na kiswahili na ukimwambia "mwanangu we mzungu sana " anaona unyama sana kumbe fala mmoja
Wote mnaojifananisha na wazungu na waarabu ni mafala tu
 
Ni Kama mabrazamen na masista du wa huku bara tu kutwa kuchanganya kingereza na kiswahili na ukimwambia "mwanangu we mzungu sana " anaona unyama sana kumbe fala mmoja
Wote mnaojifananisha na wazungu na waarabu ni mafala tu
Hio lugha ya kiingereza inatumika vyuoni, shuleni, kwenye vitabu, kwenye computer, n.k

unaikwepaje kwa mfano?
 
Ule ni ujinga tu. Katika saikolojia ya binadamu ni jambo la kawaida kwa fukara au mtu anayetumwa/kutawaliwa/kuteswa kujipendekeza kwa anayemtesa na kumuona wa maana huku akiamini hakuna sehemu sahihi ya yeye kwenda kupata ahueni ama furaha maishani zaidi ya pale anakoteswa. Hali hii iliwatokea watumwa weusi wa Marekani pale walipopata uhuru, wengi wao walikataa kuwa huru walitaka waishi tu kwa utumwani kwani waliamini utumwa ndiyo njia pekee ya uzima na ndicho wanachokifanya hawa ndugu zetu Wazanzibari. Utakuta mtu mweusi kama mkaa anajiita ama kujifanya mwarab huku akiona sifa, mtu huyu huyu anasahau mateso ambayo waarab waliwafanyia mababu na mabibi zetu mpaka Mze Karume kwa ujasiri akaja na wenzake kuja kuwakomboa hawa ndugu zetu kutoka kwenye ile hali ya utumwa na unyanyapaa. Wamekuwa huru toka enzi za mapinduzi lakini hapo hapo wanalalamika kwanini wametengwa na ndugu zao waarab. Wazanzibari kwa kweli wanahitaji maombi waondokane na huu ujinga walionao na ndiyo maana shule ni muhimu sana kuliko madrasat. Mtu unaenda shule kujifunza vitu na sana sana historia yako na si historia ya Saudi Arabia ama Roma/Vatican. Tafadhali tufunge kwa siku 7 tuwaombee nduge zetu Wazanzibari wapate kuelemika.
 
Kumix lugha ya dunia (kiingereza) hio kawaida 😁😁, ila sasa duuuh! kweli kuna haja gani ya kuminya vichwa vya watoto ili visogo viwe flat πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumix lugha isiyo yako wakat mwenye lugha yake hajawahi kumix na lugha yako huko ni kujipendekeza Kama hao wazenji wanavyo jipendekeza

Mnachofanya Kati yenu ni Kama mke mdogo na mke mkubwa kuoneana wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…