Kasome wewe Tena kwa lugha ya muhammadNaona unaweweseka , kasome tena , neno body umelitoa wapi?
Allah anasema binadamu kaanzia na blood clot , damu iliyogandaKasome wewe Tena kwa lugha ya muhammad
Google human creation in the Qur'an,acha kudandiaAllah anasema binadamu kaanzia na blood clot , damu iliyoganda
Na google wakati nina KoranGoogle human creation in the Qur'an,acha kudandia
Ungekua nayo ungeona pia 'created man from clay" na pia 'from sperm'...usingedandia tu huko ulikodandia,tafsiri (maana hiyo siquran Bali tafsiri ya Qur'an)uliyo nayo ya Nani!?Na google wakati nina Koran
96:2 created man from a blood-clot
Sperm ndio inakuwa damu iliyoganda kwa mda wa siku 40 tumboni kwa mwanamkeUngekua nayo ungeona pia 'created man from clay" na pia 'from sperm'...usingedandia tu huko ulikodandia,tafsiri (maana hiyo siquran Bali tafsiri ya Qur'an)uliyo nayo ya Nani!?
Kwa hiyo alietafsir na kusema clot blood kakosea , ivi kwa nini JF waislamu ndio wanajua kiharabu kuliko walio translate, Yani ukiweka tu verse wanakwambia Alie translate kakosea , kwa nini maijipange mje na halal translationUngekua nayo ungeona pia 'created man from clay" na pia 'from sperm'...usingedandia tu huko ulikodandia,tafsiri (maana hiyo siquran Bali tafsiri ya Qur'an)uliyo nayo ya Nani!?
Dah,aiseeZanzibar mbali sana nenda Tanga hpo waja leo warudi leo, kuna kabila linaitwa WADIGO ni weusi kama giza lkn wanapenda kujitambulisha kama ukoo wa waarabu! Niliwai kusimuliwa kua zamani walikua wanalipia kujiita ukoo wa akina Sharif!
Kiharabu ndiyo nini!!?..Kwa hiyo alietafsir na kusema clot blood kakosea , ivi kwa nini JF waislamu ndio wanajua kiharabu kuliko walio translate, Yani ukiweka tu verse wanakwambia Alie translate kakosea , kwa nini maijipange mje na halal translation
15:26,32:7-...kiharabu ndiyo nini!?..Qur'an imeteremshwa kiarabu,mfasiri anaweza kushawishika kwenye tafsiri yake kutokana na dhehebu lakeKwa hiyo alietafsir na kusema clot blood kakosea , ivi kwa nini JF waislamu ndio wanajua kiharabu kuliko walio translate, Yani ukiweka tu verse wanakwambia Alie translate kakosea , kwa nini maijipange mje na halal translation
Mfasiri anadanganya kusema damu iliyoganda ili afaidike nini? Alafu kwa nini surah imeitwa damu iliyogandaKiharabu ndiyo nini!!?..
15:26,32:7-...kiharabu ndiyo nini!?..Qur'an imeteremshwa kiarabu,mfasiri anaweza kushawishika kwenye tafsiri yake kutokana na dhehebu lake
Kwa sababu Kuna Aya inayozungumzia damu iliyoganda,umesoma Aya nilizokupa!?Mfasiri anadanganya kusema damu iliyoganda ili afaidike nini? Alafu kwa nini surah imeitwa damu iliyoganda
96 - Al Alaq (The clot)
Na unataka kutuambia sura inaitwa damu iliyoganda na hakuna verse Allah kasema sperm inakuwa damu iliyoganda?Kwa sababu Kuna Aya inayozungumzia damu iliyoganda,umesoma Aya nilizokupa!?
Una maruhani au mtindio wa ubongo!!?Na unataka kutuambia sura inaitwa damu iliyoganda na hakuna verse Allah kasema sperm inakuwa damu iliyoganda?
96 - Al Alaq (The clot)
Mbona wengine wanavaa kama wazungu ? Wanavaa suitKuna watu weusi huwa nawaona wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
Mbona wengine wanavaa kama wazungu ? Wanavaa suit
Udini zaidiIli kukoleza undugu zaidi