Maundu
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 242
- 383
Hapo umezungumzia kwa upande mmoja tu,hata sisi waAfrika tena hata hapa kwetu Tz kuna watu wanawaona waIsrael km ndugu zao tena wanaita taifa teule..hizo zote ni shobo za kuingiziwa na watu waliotutawala wazungu/waarabu na ndio hapo tulipoletewa dini na utamaduni wao ili uwe muongozo wa maisha yetu.