Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

Ni Kama mabrazamen na masista du wa huku bara tu kutwa kuchanganya kingereza na kiswahili na ukimwambia "mwanangu we mzungu sana " anaona unyama sana kumbe fala mmoja
Wote mnaojifananisha na wazungu na waarabu ni mafala tu
Hicho kingereza ni lugha ya dunia unaishi wapi mwenzetu?
 
Huu ni uchochezi😅😅😅
 
Wapo vijana wengine singida hapo wanajiita wasomali wanapenda kukaa juu ya mawe , Wakorofi ,watutuku , wabishi , wanakula gomba(Mirungi,mkokaa) wanavuta msuba kiwango cha sgr...

Pia Wana lifestyle ya kimarikansomalianchuganian ..inshort ni upuuzi mtupu ..


Na wao hashtag zao ni wasomali wa nafsi ...
 
Unasema wazanzibari wanavaa mavazi ya waarabu na jambia kiunoni kuiga waarabu,

Vipi kuhusu wanao vaa suti na tai wao wanamuiga nani?

Vipi wanaochanganya Kiswahili na English wakiongea wao wana muiga nani? Mpaka kuna maeneo eti yanaitwa Uzunguni!

Umewasahau pia wale wamarekani na mayahudi weusi wa Manyovu? Yupo tayari kumtukana ndugu yake ili amtetee yahudi!
 
Kuna watu weusi huwa nawaona wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
Uarabu sio rangi ya ngozi,asili ya waarabu ni weusi,huko Uarabuni kuna waarabu weusi wengi tu.
 
ni umewakamia
 
Ndo maana kanye west kuna kipindi aliwahi sema Slavery was a choice kwa waafrica haiwezekani watawaliwe miaka kibao ivyo, nilichogundua ni kwamba akili ya binadamu inajijenga kutokana na anavyokuzwa au kulelewa , mtu kama kazaliwa utumwani au kazoea utumwa ni ngumu kumuondoa na ndo maana hadi sa hivi kuna morden slavery na watu wanaichekelea na kumuona mtu mjinga anayeondoka utumwani
 
Hili swala sio waZanzibar tu. Waafrika tumechagua upande ndy maana dada zetu wanavaa mawigi wawe kama wazungu. Huko mitaani mambo ya hovyo ndiyo ya kiswahili. Osterbay uzunguni Tandika uswahilini.
Ukimuita mwanao Maganga basi ajiandae kuchekwa na kina John na Abdul.
Ukistaajabu wanaovaa kanzu na majambia kwenye ndoa kumbuka kuna wapiga magoti kwenye kuvisha pete wakati sisi Africans ni mfumo dume ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…