Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
sana tu mkuu.Umaskini unakuja na makorokoro kibao.
Ni kwa sababu hawapewi vijifedha wajiangushe ili kusaidia hawa washenzi wanaojifanya kutenda miujiza wakati ni ujambazi wa kawaida.Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.
Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki misa yote 3 hutaona mtu kaangushwa na mapepo.
Kwa sabato pia ni nadra sana kama wapo ni mara chache sana maana nimehudhuria sana kwenye mikutano yao na hivyo tu hadi kwenye makambi yao nimeenda sana lakini sijawahi kuona watu wanaangushwa na mapepo kama huko ulokoleni kulikoni watumishi?
SOMANikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu.
Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato.
Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na suruali za vitambaa.
Nilijifunza Kwa bidii sana hii ilikuwa mwaka2015. Kwa sababu nilibobea kwenye kujifunza majina yetu yakaoredheshwa Kwa ajiri ya ubatizo siku ilipofika sikwenda na simu nikazima kabisa maana halikuwa lengo langu.
Siku zikaenda likawepo kusanyiko fln la mitaa2 kujadiri mambo fln hapo Sasa ndo niliona fursa maana niliona mabinti wenye nywere asili wasio na mkorogo Wala majivuno...
- Nikifa MkeWangu Asiolewe
- kambi ya wasababto wasabato
- Replies: 132
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Wanakuonea. Hapa hujawakuta wamejifungia kanisani wanalia kwa lugha zisizo elewaka... Wanapenda fujo kichizi wakiwa wanaongea na mungu wao.. Wata hivo mungu wao mvumilivu saaaaaana. Maana sio kwa wanavomfokea.Haya sasa ,mimi nikisema naonekana m baya.
Oh! Mpenzi wangu, kumbe upo huku. Hujambo?Kuna muda si kinapanda ghafla hata kama yupo kwenye dose 😹
Ni vile tu unabishana kulingana na ukubwa wa mdomo wako. Lete ushahidi hapa.Kuzaliwa Africa ni laana yani hadi leo karne ya 21 bado hujui hata wazungu wanasumbuliwa na mapepo?
Zile movies za kutisha wanazotoa kila leo tena true story zimerekodiwa na kanisa nazo hamzionagi?
CCM isitoke madarakani aisee kama vijana wenyewe ndo hawa tia mchuzi
Tunaposema wazungu moja kwa moja iweke kichwani UK,USA, GERMANY NK maana hao unao wasema hata Kawe pale wapo wengi tuMatajiri wapo, kuna matajiri kibao tu wanajazana kwenye ibada za kina mwamposa. Fuatilia.
Wazungu wapo. Kuna wazungu wengi tu walikuwa wanaenda kwa TB Joshua. Ila sijui kama kwenye nchi zao haya mambo yapo...
Mbona kwa wazungu hatuoni hayo yote?Hao ulio wataja kwa asilimia kubwa hawaendagi kanisani. Hayo makanisa mara nyingi watu huenda kutafuta msaada baada yakukumbana na magumu flan. Hata wewe ukipata shida kubwa inayovuka mipaka unaweza kujaribu huko
Hata kwa I'd fake hutamuona hapaMwamposa ajibu hii.
Aisee muda huo wameshakubaliana kabisa kwamba wafanye hiki na kile ?Nimefanya kazi pale , kuna vituko zaidi ya vya kina Mr bean , mara waimbe mapambio mara waanze kunena kwa lugha kama mnavyodai , mara wacheze ile michezo ya kibaba na kimama ya watoto , mara waigize wapo darsani , mara waigize wamebeba mimba , yani ni full tafrani tu.
Wewe naye tumeshakuambia Mungu yupo mbona una kichwa kigumu hivi?Hakuna Mapepo.
Hakuna Shetani.
Hakuna uchawi.
Hakuna Mungu.
Habari zozote zinazohusu mapepo, majini, Shetani, Mungu, uchawi ni hadithi za danganya toto.
Ni uchizi tu na wao wana kiongozi wao wanaye msikiliza ukimwona unaweza fikiri zimo kumbe ni fyatu zaidi.Aisee muda huo wameshakubaliana kabisa kwamba wafanye hiki na kile ?
Kuna dada amewahi kufanya kazi hapo pia sasa kuna siku nikawa nafanya vituko vituko akaniambia umenikumbusha milembe wala sikumzingatia ....Sasa ulichosema hapa nakiri wazi alinifananisha na michizi ya hapo aseeNi uchizi tu na wao wana kiongozi wao wanaye msikiliza ukimwona unaweza fikiri zimo kumbe ni fyatu zaidi.
Yeah pale kuna vituko vya kila ainaKuna dada amewahi kufanya kazi hapo pia sasa kuna siku nikawa nafanya vituko vituko akaniambia umenikumbusha milembe wala sikumzingatia ....Sasa ulichosema hapa nakiri wazi alinifananisha na michizi ya hapo asee
Mfuasi wa shetani aangushwe na Shetani?. Hivi umewahi sikia mganga amerogwa😂?.Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
walokole ni watu gani? Tuanzie hapo kwanzaHata pale mirembe , vichaa wanaweza kufanya demo moja ukabaki unacheka sana .
Walokole ni mental patients
Yeye ni nani hata ashindwe kuwepo humu?Hata kwa I'd fake hutamuona hapa