Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

"...being delivered in 1990." Ilianza kuwa modified 1986 na bado hiyo Boeing model yake ni 747 iliyoanza kazi 1968.
 
Kenya Kuna vita ?
 
Ukigombana na Mkeo chumbani ,alafu unakuta nguo zako zimetiwa ki biriti inaanza na nani ?
 
Hizo drone na Hypasonic misille si ni air craft za kubeba mabomu ama nn maana ya air craft ni ?? dadavua msitupige na vitu vizito
 
Una uhakika bado ipo na tech ya 1978?. Hio ni ngumu sana lazima watakuwa waliibadili mambo mengi sana na probably ndio yakawa chanzo cha shida zote.
 
yani ni kama upigwe ngumi gizani na hujui nani kakupiga ndio tukio ilo.
 
Jamaa wanaweza kutebgeneza ballistic missile ila spea ya ndege wanashindwa;😀😀😀

tunaposema waisilamu hamna akili muwe mnaelewa
 
Achana na Iran kwanza hap Hamas tu wanawatoa kamas IDF leo hii ni mwezi wa 8 unaenda hakuna cha mateka ni mwendo wa kudunguana tu Iran wataiweza ikiwa hamas wameshindwa?
 
Mungu wa Israeli hachezewi. Aigusaye Israeli aigusa mboni ya jicho la Mungu YHWH
 
mossad ndio waliompandisha humo, Mungu wa ISRAELI hachezewi. soma Agano la Kale
 
Kiboko wa Israel kivipi? Nchi inayotumia chopper waliyotengeneza Wamarekani kumbeba Rais wao halafu bado wanaitukana Marekani? Nchi yoyote iliyojikita kuonesha mighty ya kijeshi at the expense of the citizens welfare km hao Iran ni hovyo kabisa
Hizo ni akili zenu ndio zinafikiria vile wambie basi US wawache kuzitumia F15 pia 😄

dron, 2019
Role
Air superiority fighter
National origin
United States
Manufacturer
McDonnell Douglas
Boeing Defense, Space & Security
First flight
27 July 1972; 51 years ago
Introduction
9 January 1976; 48 years ago[1]
Status
In service
Primary users
United States Air Force
Japan Air Self-Defense Force
Royal Saudi Air Force
Israeli Air Force
Produced
1972–1997
Number built
F-15A/B/C/D/J/DJ: 1,198[2]
Variants
Mitsubishi F-15J
McDonnell Douglas F-15 STOL/MTD
Developed into
McDonnell Douglas F-15E Strike Eagle
 
Achana na Iran kwanza hap Hamas tu wanawatoa kamas IDF leo hii ni mwezi wa 8 unaenda hakuna cha mateka ni mwendo wa kudunguana tu Iran wataiweza ikiwa hamas wameshindwa?
Ww unaishi Dunia ipi mateka wamekombolewa hujui ,unafanya nn JF humu unajaza saver.
 
BC wazungu walikua wanaishi kwenye mapango uchi,1090 AD wanapenda Vita vya msalaba mashariki ya kati hawajui kusoma na kuandika isipokua wachungaji,soma,hiyo sarafu ya kilwa unaweza google na kuiona
 
BC wazungu walikua wanaishi kwenye mapango uchi,1090 AD wanapenda Vita vya msalaba mashariki ya kati hawajui kusoma na kuandika isipokua wachungaji,soma,hiyo sarafu ya kilwa unaweza google na kuiona
Unachekesha sana. Nimecheka sana kuona hata nchi ya kiislamu ya Iran bila bidhaa za makafiri hawawezi kuishi. Raisi anadondoka kwenye ndege iliyotengenezwa na kafiri 1978
Dunia ya Mungu, vitu vya mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…