Sio ulinzi mkali, hapana, tunaongelea ubora na usalama, raisi hapaswi kutumia usafiri ambao usalama na ubora wake ni wa mashaka mashaka, rais anatakiwa kusafiri kwa usafiri ambao una guarantee kubwa ya usalama
mfano tunajua usafiri wa anga hali ya hewa inapobadilika inasababbisha risk kwenye kutumia usafiri huo, ila jinsi vyombo vya anga vinavotengenezwa vipya vinatengenezwa na technolojia zaidi ya kuovercome chalenge hizo, so si sahihi kwa rais kufanya majukumu yake kwa kutumia helicopta ambayo ina technolojia ya zamani na haijawa updated wakati ziko helicopter zenye ubora zaidi