Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
Hawa tumewatia kwapani hawachokoki, huo uliku mwanzo tu wa matukio, watalia sana humu mashabiki wa magaidi ya kidini brazaj
Maneno kama haya ndiyo yahudi anapenda kuyasikia. Kwamba anapiga halafu huyu aliyepigwa kila akijaribu kufikiri nimepigwa na nani hapati jibu na anaishia kusema ajali. Basi mpigaji anajipongeza maana amekuzidi akili.Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
Pamoja Sana mkuu Kwa elimuHelicopter si sawa na gari. White house helicopter za rais zimekuwa designed 1960s, nyingine 1970s lakini leo bado zinambeba rais, je ni ngarangara?
Tatizo matunzo mzee baba. Wanazifanyia upgrades kila kukicha. And for the record jeshi la marekani bado wanazo wanazitumia. So hakuna excuse
Dola ya kilwa hapo pwani ya tz,walikua na sarafu yao ya dhahabu yenye maandishi ya kiarabu,hiyo ni kabla ya 1300AD1. Unajua pesa/hela zinatengenezwa wapi? Tangu lini muislamu akawa muasisi wa pesa?
2. Labda tiba za mitishamba ambazo zinauzwa kwenye misikiti hadi vumbi la congo ambazo hazina vipimo😁😁😁😁
Teknolojia hutofautiana.Yap kujimwambafai tu, watakupinga lakini huo ndio ukweli, hata drones hazikuweza kufanya kitu kusaidia kutafuta, drones za Turkey kiboko, na watauza sana sasa.
Ndivyo mnavyodanganyana!?Alipaswa chagua vita. Israel sio watu wakuchezea hata mrusi analijuwa Hilo na anajuwa mwisho wake.
Acha kupotosha wewe.Wa-Iran walio wengi wanapendelea bidhaa na utamaduni wa magharibi zaidi.
Inawezekana kuna mambo huyajui. Iran iliwekewa vikwazo vya kununua helikopta na ndege za kivita na vifaa vyake. Hicho ndicho hasa kilinachoowaathiri. Labda weakness ni kwamba hawawezi kutengeneza chpa zao wenyewe, kama ilivyo kwa Israel, nao hawana kiwanda cha chopa.Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
Hizo shari za Iran na Hizbollah ni zipi!?wayahudi ni watu wa amani sana, hezbolah na iran ni watu wa shari sana. ila cha ajabu shari yenyewe hawaiwezi
Napigia msitari hio sentensi ya mwisho. Waisrael ni wauwaji toka kaleHizo shari za Iran na Hizbollah ni zipi!?
Tofautisha wayahudi na wazayuni.
Israel ni wazayuni tupu,mijitu ilojaa ufedhuli na umwagaji damu.
Pigeni tena ubalozi muone moto mtakaowashiwa. Hii iliyopita itakua cha mtotoHilo ndiyo Israel taifa teule la Mungu. Na bado😁😁😁😁
Mtaisha wote
Wachina wakikaza fuvu wakaamua kuwauzia Iran bidhaa zilizopigwa marufuku kuuzwa kwa Iran, nini kitatokea ?Mchina hana VIP transport helicopter yake mwenyewe, anafanya licence production ya helicopter za Ulaya na Marekani. Haruhusiwi kuziuza kwa mwenye sanctions zao.
Mrusi mara ya mwisho kutengeneza VIP transport helicopter ni kabla USSR haijaanguka. Zipo Mil Mi-17 transport version ila nahisi Iran wanaamini vifaa vya Marekani zaidi. Sina hakika na hili.
We hao mosad wameshindwa kuwamaliza hamass miezi sita wakiwa na misaada lukuki ndege vifaru wakishindana na kikundi kinacho miliki rpg ni wakawaida tu msiwajaze kichwaSiyo Uzembe chezea Mossad wewee. Kuna branch yao inaitwa Kidon weee (ncha ya mkuki)
Jamaa walisema watajibu kwa wakati sahihiSiyo Uzembe chezea Mossad wewee. Kuna branch yao inaitwa Kidon weee (ncha ya mkuki)
Kampuni itakayouzia Iran itawekewa vikwazo. Ikiuza Iran inapoteza soko la nchi nyingine ambazo ndio zingenunua kwa wingi zaidi ya Iran. Hata hivyo China haina VIP transport helicopter ya kuuzaWachina wakikaza fuvu wakaamua kuwauzia Iran bidhaa zilizopigwa marufuku kuuzwa kwa Iran, nini kitatokea ?
Unajua ndege ya raisi wa Marekani imetengenezwa mwaka gani?Hapa hatuongelei thaman yan kitu, bali tunaongelea usalama, raisi ni taasisi ambayo inatakiwa ilindwe kwa gharama, technolojia ya helicopter ya mwaka 70 haiwezi kua sawa na ya mwaka 2000 kiusalama
nchi ya 15 kisayansi raisi wao angekufa kizembe hivo?
tatizo ni kutokujua vitu kiundani,asa israel wamefanya nini ktk ajali ya helikoptaya miaka ya 70s dhidi ya hali ile ya hewa yani israel wamuue raisi wakifikiri kwamba iran haitakuwa tena na raisi au kwamba atakuwa na raisi wa kuwaogopa wao???Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
Hapo ukristo umeingiaje?. Udini unakufanya uwe Kama mtu uliechanganyikiwa hivi.Wakristo kumbe hamna akili