Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Kwa mfano kura zikiibwa uchaguzi mkuu, mtaandamana kutaka sheria nzuri au kuipinga serikali inayoelekea kuundwa ? 2929 Lissu aliitisha maandamano baada ya uchaguzi na hakuna aliyejitokeza na yeye kwa mdomo wake alisema "watanzania hawapo tayari kudai haki yao"
Danger for DHatari Sana
Mkuu mbona nawe umeonyesha wazi unafiki baada ya Mbowe kusema atagombea nyuzi hazikauki. Mnatakiwa mlienzi neno demokrasia kama lilivyo katika jina la chama. Box la kura liamue.
Kumbuka Slaa mwenyekiti wake alikuwa Mbowe.
Katika mchakato wa Slaa kuondoka alifanya press conference akiwa na vyombo vikubwa vya habari vile vile ambavyo tunavishangaa kwa nini jana vilikuwa live kwa mwenyekiti....
na wengine walisema alipewa "ulinzi" wa kutosha kutoka kwa wakubwa
Hawa walikuwa ni Raia wa wapi ? Watanzania wameacha kuingia barabarani kwa sababu ya uoga....hakuna kingine...Kikwete alikuwa "mpole" sana ndio maana walikuwa wakiandamana.....kama Watanzania walikuwa na akili wangewasusia CHADEMA kwa kumkubali Lowassa kuwa mgombea wa Urais wakati walisema ni fisadiHivi Watanzania wataingia barabarani kwa kuingizwa na CHADEMA ambayo iliwaambia Lowasa ni fisadi kwa miaka nenda Rudi alafu mwisho wa siku wakamsafisha? Hao Watanzania ni wajinga kiasi hicho?
Lisu hata akihamia chausta atapata uungwaji mkubwa sana.Chadema kwa sasa imejifia yenyewe kwa tabia za Chairman wa kudumu.Lissu ni muhimu sana kwa siasa za kipindi hiki. CCM haitakiwi ikutane na viongozi lia lia tena bali walio shupavu, wenye maono mapya na ari mpya ya mabadiriko.
Mkuu uko gifted ktk uandishi hilo nakupa credit, lakini ktk huu mchango wako wewe shida yako ni Lissu awe mwenyekiti huna nia ya dhati ya kupigania chama "... matendo yanayoendelea tunaona ni Bora CCM..."Hata Sisi wengine ambao tunachukizwa na matendo yanayoendelea tunaona ni Bora CCM kuliko hao wanaojifanya wema kumbe ni wabaya. Hao ndio wabaya zaidi
Kuna mchango ungeusoma una jibu la hii comment yako.Sipendi watu wanaoongea Jambo wasilolitenda.
Sijapendezwa na Mbowe kuendelea ingawaje yeye anatumia HAKI yake kulingana na Katiba ya chama chake. Lakini Muda huohuo mtu anayesema anahaki ya kuongoza kwa sababu watu wamemtaka aendelee ndio huyohuyo anataka kuitoa madarakani CCM ambayo watu wanataka iendelee. Kwa logically unaona IPO Sawa?
Unajua kidemokrasia zikipigwa Kura Leo vifutwe vyama vyote vya siasa kibaki chama kimoja unajua watu wengi watasema CCM ibaki vingine vifutwe? Unajua Hilo.
Unajua uwepo wa vyama vingi ni busara za chama tawala?
Unajua ni Kwa nini CCM wenyeviti wanabadilishana uongozi?
Ujinga ni kufanya jambo kwa njia ileile hata akili zilezile halafu ukitegemea matokeo chanyaSipendi watu wanaoongea Jambo wasilolitenda.
Sijapendezwa na Mbowe kuendelea ingawaje yeye anatumia HAKI yake kulingana na Katiba ya chama chake. Lakini Muda huohuo mtu anayesema anahaki ya kuongoza kwa sababu watu wamemtaka aendelee ndio huyohuyo anataka kuitoa madarakani CCM ambayo watu wanataka iendelee. Kwa logically unaona IPO Sawa?
Unajua kidemokrasia zikipigwa Kura Leo vifutwe vyama vyote vya siasa kibaki chama kimoja unajua watu wengi watasema CCM ibaki vingine vifutwe? Unajua Hilo.
Unajua uwepo wa vyama vingi ni busara za chama tawala?
Unajua ni Kwa nini CCM wenyeviti wanabadilishana uongozi?
Ujinga ni kufanya jambo kwa njia ileile hata akili zilezile halafu ukitegemea matokeo chanya
Ndio tumejua kumbe ndani ya chadema kuna mkono wa ccm
Ya Lisu yametufungua machoKumbe CCM inawatoto wengi
Hakuna chama cha kiuanaharakati kimewahi kushika nchi, huwezi kuendesha siasa za kiuanaharakati ukapata madaraka, siasa ni sayansi na haitaki uanaharakati. Wanaharakati ni part and parcel ya kuendesha siasa ila sio watu wa kuikomboa nchi.Tanzania chama cha siasa ni kimoja ambacho ni CCM Logically.
Vilivyobaki vyote ni vyama vya wanaharakati ikiwa wanamaanisha.
N vile visivyomaanisha ni vyama rafiki vya CCM.
Chama kinachoingia shimoni ni kile ambacho kina unafiki ndani yake. Au kimejawa na viongozi wanafiki au mamluki.
Vyama vya wanaharakati haviangukagi Mpaka ukombozi upatikane. Hiyo ipo hivyo kihistoria.
Slaa alikuwa pandikizi, now he is where he rightfully belongs. A two headed serpent.Watanzania sio wajinga.
Huwezi jiunga kupigana ukiongozwa na watu wanafiki.
Mbona wakati wa Slaa watu walikuwa wanatoka
Mbowe huenda alikuwa genuine miaka ya nyuma, ameona there's nothing he can do kuingia madarakani nae akaona afanye siasa za majitaka.Kuwa calm kwake ni kwa sababu ni Mnufaika wa Mfumo, Hana Busara kama tulivyokuwa tunadai!
Kuna Jose mujica wa Uruguay kaka mkubwa.Hakuna chama cha kiuanaharakati kimewahi kushika nchi, huwezi kuendesha siasa za kiuanaharakati ukapata madaraka, siasa ni sayansi na haitaki uanaharakati. Wanaharakati ni part and parcel ya kuendesha siasa ila sio watu wa kuikomboa nchi.
Huena, ila kwa sasa tunaohitaji siasa za Mageuzi tunamhitaji Lissu zaidi kuliko Mbowe!, Amefanya sehemu yake inatosha!Mbowe huenda alikuwa genuine miaka ya nyuma, ameona there's nothing he can do kuingia madarakani nae akaona afanye siasa za majitaka.
Ila huwezi kuja kuniambia Lissu na siasa zake anaweza kuwa mwenyekiti akafanya kitu tangible, siamini
Mtikila ndiye activist wa kweli aliyeipigania Tanganyika, the rest wanatumika either na CCM au na Western sponsors.Sahihi kabisa.. Sio Slaa tu hata mchungaji Mtikila watu walitoka Sana.. Kifupi CDM wamepoteza mvuto, na kauli zoo haziaminiki tena.
Hata wakati niko uko kigoma kipindi cha kabulu harakati zilikuwa harakati unaona kabisa kiongozi yupo kwa ajili ya ukomboziWatanzania sio wajinga.
Huwezi jiunga kupigana ukiongozwa na watu wanafiki.
Mbona wakati wa Slaa watu walikuwa wanatoka