Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

Hayo sawa ila ufisadi hauwezi kuisha wala kupungua Africa. Sasa kama sio chama cha Mbowe chama gani!?,ACT au CHAUMA!?,tuwe wakweli..
 
Hayo sawa ila ufisadi hauwezi kuisha wala kupungua Africa. Sasa kama sio chama cha Mbowe chama gani!?,ACT au CHAUMA!?,tuwe wakweli..
It is so wrong kuamini chama cha siasa ndio kitaleta changes. We need katiba, katiba ambayo ni efficient na itayoendana na mahitaji ya sasa karne hii.
Hivyo vyama vingine vita act the same as ccm, wakipata hiyo nafasi.
Katiba is the only solution, hatuwez kutegemea utashi au huruma za mtu kuwa akipata madaraka hatobadilika, ni sawa na kubeti
 
Nilikuwa ninamjibu mleta mada anayesema mwakani kiingie chama kingine kumaliza ufisadi. Tatizo la Africa sio vyama wala katiba mpya. Tatizo la Africa ni selfishness ya wanaopewa madaraka, Kenya wana katiba mpya. Ila kila siku lawama tu, ukabila, ufisadi n.k, Watu wasiozidi kumi wana utajiri wa almost 50% ya nchi nzima. Siku tukiacha ubinafsi ndo siku tutasogea.
 
Tumwite mwekezaji aje abandike mabango kwahisani ya watu wa...........
Taifa lipo mbendembende

Kigezo cha kuwa mwanausalama ndani ya Taifa kimekuwa ni uwezo wa kuua wanaokosoa ili kulinda mamlaka iliyopo madarakani....

Wacha wqje na bango aisee🤣
 
Kila mmoja analalamika, kuanzia juu Hadi Kwa watoto wa Shule ya msingi...nation of malalamiko.
 
Kesi ya kenya ni very different from us, but one thing katiba yao imewapa ni raia kuamua what they want and what they dont want.
Is how wanapata mawaziri, how chama cha siasa hakina 100% control over thr goverment. Chama ni chama na serikali ni serikali

Katiba yao however si perfect kwamba inawapa kila kitu, ofcourse ufisadi upo, japo walipunguza kidogo.

Ukicheki the rest of nchi nyingine afrika, chama kina 100% control over the goverment, chama kinaweza tumia gov resources againts wapinzani au kikajiependelea na vyombo hivyo visiganye lolote.

I think first step ni kuondoa hiyo nguvu (major loophole) kwenye mifumo yetu. The taasis ziwe imune from intention za wanasiasa au chama kinacho ingia madarakani.
Ile mihimili mitatu ya nchi inatakiwa iwe independent kias kwamba kusiwe. Loop hole za kupindisha haki kwa namna yoyote ile

All of that lazima vitokee kwenye katiba, na si chama cha siasa
 
Utajiri si tatizo ila je huo utajiri unapatikanaje?kuna matajiri ktk nchi nyingi za Afrika lkn wao wamepata utajiri kwa kuwekeza kwenye makampuni makubwa ya kibiashara lkn Tz matajiri wanawekeza serikalini.wanafanya biashara na serikali kwa kodi za wananchi
 
Umeongea jambo la msingi sana, tunataka institutions ziwe independent, kusiwe na kuingiliana.

Executive, Parliament na Judiciary, Kila mhimili uwe independent kikwelikweli, sivyo kama ilivyo hivi sasa, mhimili mmoja, ambao ni Executive unakuwa ndiyo uko juu ya mihimili mingine ya Parliament na Judiciary
 
 
Ndio Tanzania ilivyo,hata wale mliokuwa mnawaita Wazalendo aisee waliiba sana pesa.

Kuna RC mmja alikuwa DC Wilaya Fulani ukiacha kuiba pesa za Miradi na kutisha na mbaya zaidi alikuwa anaendesha Genge la wizi wa mifugo yaani ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…