Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

Kuna mtu kaandika chama cha mbowe?
Kenya baada ya kubadili utawala mpaka na uchumi umepanda, they probably have the best education east africa na ndio favourite kituo cha uwekezaji EA, walikuwa na siasa kama za kwetu kuabudu rais na wanasiasa kisa chama kilipigania uhuru.

Angalia wakenya waliopo nje wanavyo represent nchi yao? Wanavyo changia uchumi wa nchi yao ? Sis wakwetu wanafanya nini?
Tunawakilishwa na nini?

As for zambia wanapanda taratibu, ila wanaelekea uelekeo wa kenya
Hayo sawa ila ufisadi hauwezi kuisha wala kupungua Africa. Sasa kama sio chama cha Mbowe chama gani!?,ACT au CHAUMA!?,tuwe wakweli..
 
It is so wrong kuamini chama cha siasa ndio kitaleta changes. We need katiba, katiba ambayo ni efficient na itayoendana na mahitaji ya sasa karne hii.
Hivyo vyama vingine vita act the same as ccm, wakipata hiyo nafasi.
Katiba is the only solution, hatuwez kutegemea utashi au huruma za mtu kuwa akipata madaraka hatobadilika, ni sawa na kubeti
 
Nilikuwa ninamjibu mleta mada anayesema mwakani kiingie chama kingine kumaliza ufisadi. Tatizo la Africa sio vyama wala katiba mpya. Tatizo la Africa ni selfishness ya wanaopewa madaraka, Kenya wana katiba mpya. Ila kila siku lawama tu, ukabila, ufisadi n.k, Watu wasiozidi kumi wana utajiri wa almost 50% ya nchi nzima. Siku tukiacha ubinafsi ndo siku tutasogea.
 
Tumwite mwekezaji aje abandike mabango kwahisani ya watu wa...........
Taifa lipo mbendembende

Kigezo cha kuwa mwanausalama ndani ya Taifa kimekuwa ni uwezo wa kuua wanaokosoa ili kulinda mamlaka iliyopo madarakani....

Wacha wqje na bango aisee🤣
 
Kila mmoja analalamika, kuanzia juu Hadi Kwa watoto wa Shule ya msingi...nation of malalamiko.
 
Nilikuwa ninamjibu mleta mada anayesema mwakani kiingie chama kingine kumaliza ufisadi. Tatizo la Africa sio vyama wala katiba mpya. Tatizo la Africa ni selfishness ya wanaopewa madaraka, Kenya wana katiba mpya. Ila kila siku lawama tu, ukabila, ufisadi n.k, Watu wasiozidi kumi wana utajiri wa almost 50% ya nchi nzima. Siku tukiacha ubinafsi ndo siku tutasogea.
Kesi ya kenya ni very different from us, but one thing katiba yao imewapa ni raia kuamua what they want and what they dont want.
Is how wanapata mawaziri, how chama cha siasa hakina 100% control over thr goverment. Chama ni chama na serikali ni serikali

Katiba yao however si perfect kwamba inawapa kila kitu, ofcourse ufisadi upo, japo walipunguza kidogo.

Ukicheki the rest of nchi nyingine afrika, chama kina 100% control over the goverment, chama kinaweza tumia gov resources againts wapinzani au kikajiependelea na vyombo hivyo visiganye lolote.

I think first step ni kuondoa hiyo nguvu (major loophole) kwenye mifumo yetu. The taasis ziwe imune from intention za wanasiasa au chama kinacho ingia madarakani.
Ile mihimili mitatu ya nchi inatakiwa iwe independent kias kwamba kusiwe. Loop hole za kupindisha haki kwa namna yoyote ile

All of that lazima vitokee kwenye katiba, na si chama cha siasa
 
Utajiri si tatizo ila je huo utajiri unapatikanaje?kuna matajiri ktk nchi nyingi za Afrika lkn wao wamepata utajiri kwa kuwekeza kwenye makampuni makubwa ya kibiashara lkn Tz matajiri wanawekeza serikalini.wanafanya biashara na serikali kwa kodi za wananchi
 
Kesi ya kenya ni very different from us, but one thing katiba yao imewapa ni raia kuamua what they want and what they dont want.
Is how wanapata mawaziri, how chama cha siasa hakina 100% control over thr goverment. Chama ni chama na serikali ni serikali

Katiba yao however si perfect kwamba inawapa kila kitu, ofcourse ufisadi upo, japo walipunguza kidogo.

Ukicheki the rest of nchi nyingine afrika, chama kina 100% control over the goverment, chama kinaweza tumia gov resources againts wapinzani au kikajiependelea na vyombo hivyo visiganye lolote.

I think first step ni kuondoa hiyo nguvu (major loophole) kwenye mifumo yetu. The taasis ziwe imune from intention za wanasiasa au chama kinacho ingia madarakani.
Ile mihimili mitatu ya nchi inatakiwa iwe independent kias kwamba kusiwe. Loop hole za kupindisha haki kwa namna yoyote ile

All of that lazima vitokee kwenye katiba, na si chama cha siasa
Umeongea jambo la msingi sana, tunataka institutions ziwe independent, kusiwe na kuingiliana.

Executive, Parliament na Judiciary, Kila mhimili uwe independent kikwelikweli, sivyo kama ilivyo hivi sasa, mhimili mmoja, ambao ni Executive unakuwa ndiyo uko juu ya mihimili mingine ya Parliament na Judiciary
 
Nimekumbuka kesi ya uhaini ya mwaka 1983,namnukuu kepteni Eugene maganga alivyosema

"mawazo ya watanzania wana lalamika kuhusu kila kitu lakini hakuna mmoja wao alio wahi kuchukua hatua"

Kama kweli tunachukia viongozi wezi kama tunavyosema humu,tungeshachukua hatua.. De
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Ndio Tanzania ilivyo,hata wale mliokuwa mnawaita Wazalendo aisee waliiba sana pesa.

Kuna RC mmja alikuwa DC Wilaya Fulani ukiacha kuiba pesa za Miradi na kutisha na mbaya zaidi alikuwa anaendesha Genge la wizi wa mifugo yaani ng'ombe.
 
Back
Top Bottom