Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

Duu kwa hiyo na ndevu zote hizo ulizonazo unataka nawewe uolewe
Ndicho wanawake wanachokitaka, na watakuja kujuta hizi dezo wanazopewa na wanaume zote zitahamia Kwa mashoga na watatafta wanaume wa kuwaoa hata Kwa bure na watawakosa
 
Makungwi wanatutia loss sana...yaani unakuta wanamwambia muombe hela mume wako pale mnapokua 6 x6 tena ukiwa unamkatikia viuno
 
Hawana ujanja wowote ni ma simp pekee ndo mnapigwa
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…