Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

Alhamdulillah naswali sana na Mungu ananipa hasa ninaoomba tumatch ila sijui why Huwa dini tofaut na wazazi wangu hawataki hata kusikia ilo suala
Zaid ya mara Tatu wanafukuza wachumba sabbu ya dini
dfini tofauti inachallenge sana, skufichi tulia endelea kua na subra atakuja tu amini ninachokuambia na hata ukizaka shingo uolewe naye hivohivo ukubali kuolewa lakini nduguzo mtakua hampatani kwa hilo jipe muda hua tuna mtindo wa kua na haraka kupata majibu yetu ya vile tubavyoomba lakini subra ndio yenye majibu
 
naomba sana Mungu kila mtu ampe hitaji la moyo wake, wewe ishi ukiamini ubavu wako upo sehem hivi saa hizi na yeye anvurugwa na mahaba huko lakini mtakutana tu 😜😜
Kuna kitu umesema kilinigusa! Nilishindwa kusamehe.

Na Kila kitu kilivyoharibika, nikapoteza kabisa nguvu juu ya mahusiano na mapenzi.

Mimi ni mtu ambaye sipendi kunidanganya mwenyewe! Popote alipo huyo ubavu wangu Mungu azidi kumtunza.

For sure story yako, Kuna kitu kipya na tumaini kubwa imeeingiza ndani yangu.
 
we
Inataka moyo kushinda huo mtihani hasa uwe na mtu anaekupenda na kukuelewa nafikiria mapito ya shida na maradhi Kuna kipind nilipitia huyohuyo ndo alisimama na mm
Kumtenga kisa dini najiona katili sana
Mungu anisaidie
we ulijiwekea expectations zipi aje yoyote tu kwneye dini? mimi nilijiambia aje wa dini yangu awe hivi anipende nimpende
 
Mimi sioi na mbinguni nitaenda
Sina dhambi
Kataa ndoa mixx by yaas
 
Story yako mwanzon inafana Na yangu...tulikutana kanisan Ibada ilivoisha kwenye kusalimiana....the way alivokua ananiangalia while tunaongea made me fall in love with him hata siku alivokuja kunifungukia sikupoteza muda Kesho yake nilimpa jibu la yes
Ukafunguka mutoto ya Joseph 😃
 
halaf watu wananikwot wrong, kumhudumia sikumaanisha kifedha japo hata leo hii tubasaidiana akikwama mm kutoa yangu sioni ubahili lakini enzi hizo n msoso ndio sana, nikipika namcheki baby leo nimetoa chapat uje nmekuekea akija maji yamoto ya kunawia pemben chai ya viungo kwneye chupa akitoka hapo akaoge yan as if amenioa hiki ndio nilimaanisha sio kumhonga hela mimi mwneyewe hela nasubiri nitumiwe
 
we

we ulijiwekea expectations zipi aje yoyote tu kwneye dini? mimi nilijiambia aje wa dini yangu awe hivi anipende nimpende
Nikiri hiko kipande huenda sikuzingatia nilibase kwenye mengine zaidi na ninapata sifa zote karibia 90%ninazohitaji Yan kabla sijasema nimeitikiwa,nikiomba kitu napewa napendwa natambulishwa Kwa ndugu bila kuomba napendwa na ndugu zake but huku kwangu ndio mtiti
 
Mtupe mbinu za kuchagua aisee
Nawish kuwa na ndoa yenye amani hata nikiangalia rafikizangu na ndoa zao hazitii moyo ukiangalia vijana wa kiume wengi ni wajinga na utoto kibao
Hao unaowaona ni mabishoo Wanaume Au Mume Akija Kwako Kwa Akili ya Kawaida Unamzalau Kumbe ndio Jembe hilo Ila kwa Akili za Kawaida huwezi Kumzania Huwaga wapo Kawaida tuu Kuna Siri Kumpata Mume wa Kweli Muombe Mungu Akufunulie ya Rohoni
 
weka kmyupi umtakaye atakuja huku ukiweka imani yupo hata hayo yanaytokea amini ni lazima ulikua upitie hiyo segment ujue
 
Hao unaowaona ni mabishoo Wanaume Au Mume Akija Kwako Kwa Akili ya Kawaida Unamzalau Kumbe ndio Jembe hilo Ila kwa Akili za Kawaida huwezi Kumzania Huwaga wapo Kawaida tuu Kuna Siri Kumpata Mume wa Kweli Muombe Mungu Akufunulie ya Rohoni
Mwanaume Cha kwanza uwezo wa kufikiri uwe juu kuliko mwanamke wako
Siwez kuwa na mwanaume hajui anatak nn kwenye maisha hivi unaweza kumruhusu dadaako aolewe na mwanaume hata akiwa anaumwa hamjulii hata hali huyo mwanaume atakuwa na uwezo wa kumtunza huyo mke
Upendo na huruma ndio best thing kwenye relation ship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…