Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Wanaume wengi wanasukuma vyuma vyenyeuwezo wakuleta maamuzi ya uchumi wa nchi,familia angalia malori 95%,mabasi 97%,daladala 99%,mafuso 100%,tex99.9%,DFP,STK,SU,PT, JW angalia v8 za mataasi,za umma,binafsi angalia magali ya kitalii hayo yote wanaendesha na kumili kwa 85% kwa ujumla wake na uchumi wake
 
Mkuu ume_analyse vizuri sana.

Naamini taifa litakuwa linafaidika sana na uwepo wako.
 
Asikwambie mtu babu,kuishi na watu tabu
"
Wanaume siku zote uwepo wetu inaonekana,Ila Kama mtu anataka kuuficha ,huwa tunamwachia ukumbi"
MAJIBU YAPO KWENYE QURAN NA BIBLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…