Kwanza useme hadi unapanda hapa jukwaani umeshahonga ngapi?Hellow wana Jf.
Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?
Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
Ni kama unavyomiliki baiskeli tuπ Mkuu una_uhakika unayo kadi ya gari yenye jina lako?
HAO KATI YA 15 KUMI NA MBILI NI SINGLE MAMA
Umenitapeli lile gari langu, mungu anakuonaππππ€π€π€
Nimeuza nimelipa kikobaUmenitapeli lile gari langu, mungu anakuona
Ni sahihi kuuza zawadi uliopewa?Nimeuza nimelipa kikoba
Magari nimewapa hao waremboππ eleweka mkuu una kadi ya gari au una_drive bicycle?
ππ mkuu so ukipigwa wese la upako wewe ndiyo tu sio?
Naona kama sio kweli.
Bei elekezi kulala 20K, short time 5Kππ tushuke mpaka shingapi mwenyeketi?
π aisee noma sana Mkuu.Siku moja nilikuwa hoteli moja, nikaamua kutafuta kampani mtandaoni, alipokuja tukawa tunaongea, baada ya shoo akajipaka mafuta ya upako wa yule jamaa wa barabara, kumuuliza kwa nini unatumia, akasema anakuwa anapata wateja wazito.
Sisi wanaume ndio kazi yetu kuwahonga wanawake magari. Sasa hata tusipo drive Wala sio shida. Hii ndio formula ya watafutajiHellow wana Jf.
Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?
Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
Ukweli mkubwa sana huu. Short and clear.Wasi wasi wako tu mkuu kaangalie majina yaliyopo kwenye hizo blue card za hiyo magari