Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

hawa wazanzibari wanaona sasa ni zamu yao kula. come 2025 nchi itakuwa kavu bila akiba yo yote....mainyesho ya biashara rais wa nini ikiwa mawaziri wapo?
 
Shaka ni mzanzibar!!!
 
Threads za kipumbavu zinaanzishwa kila siku humu JF kuponda kila hatua ambayo Rais SSH anafanya. Halafu eti Yericko Nyerere naye ni mtunzi wa vitabu vya KIJASUSI.

Tafuteni mada fikirishi siyo haya maongezi ya jikoni
Mbona unadharau jiko wakati wewe mwenyewe ndiyo kazi yako kukuna nazi jikoni?
 
Komredi Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi wetu CCM....

Komredi Shaka Hamdu Shaka ana haki zote za kukiwakilisha CHAMA DOLA katika safari za serikali.....

Huo ndio ukweli ndugu yangu Yericko.........

Huo ndio ukweli ewe swahiba wa "mwamba tuvushe" 🤣🤣

Nisalimie hapo "KIBANDANI" ufipa street🤣

#Siempre CCM🙏
 
umesema kweli shaka na mama ni damu damu wanatoka eneo moja
 
umesema kweli shaka na mama ni damu damu wanatoka eneo moja
Ujinga huo.....

Kutoka sehemu moja si hoja.....

Komredi Shaka ni kiongozi wa CCM...unataka pia kuuhoji UWEPO WA KOMREDI H.POLEPOLE katika safari za utawala wa serikali ya awamu ya 5?!!!
Naye pia ni wa kanda ya ziwa.....
 
Mkuu utakua umekula chumvi nyingi hongera Sana.

Kenyatta senior ulimuona na ulikua 20+ ?

Shikamoo!
 
Yericko naye MSANII?!!!

Kwani alionekana sana kule NGOME YA CHADEMA mitaa ya mbezi beach kwa "ULIPO TUPO" baada ya KUHAMIA CHADEMA......

#Siempre JMT🙏
 
Zamu yenu wazanzibar kuitafuna Tanganyika
Mimi si mzanzibari......

Sina tone la damu na huko.....

Ila mzanzibari ni MTANZANIA kama nilivyo mimi na wewe.....

Tanganyika haipo.....ilishakufa.....ilishazikwa.....huwezi kuifufua.....

Anayeitaka Tanganyika kwanza afe halafu atakutana nayo KUZIMU.....
 
Hakuna mtanzania mjinga kama hivi, wewe tunakujua ni mpemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…