Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726