π€£π€£π€£ sasa nidelete nini hapo?Em delete kwanza
Sitaki kuwa banned
Af tuendelee π€£π€£
Tulia upendwe na wizo wewe πππLove in jf isn't for everybody π π
Ushahidi wa comment ππ€£π€£π€£ sasa nidelete nini hapo?
Comment ipi? Hebu onyesha nifuteUshahidi wa comment π
ππ dah!Comment ipi? Hebu onyesha nifute
Dunia uwanja wa fujoMahali ambapo hata hujui jinsia za watu utaanzaje
Au vigezo michango tu
Aisee shetani ana force urafikiππ€£ππππ Wizo ana mkanda wa karate hakuna tatizo atakutuliza
atafute type yakeπTulia upendwe na wizo wewe πππ
π€£π€£Kukoma mpk nikifa labda πππ
Changanyikeni πDunia uwanja wa fujo
Kweli siijui em nitag nifute πππππππ dah!
π€£π€£π€£π€£Aisee shetani ana force urafikiππ€£
Type yake si wewe?? Kwani ww sio mwanaume?? πππatafute type yakeπ
Wengi wanawapenda JF Moderators, sasa wanaogopa sema wasipigwe ban.Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye⦠unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa make sure una-show love β€οΈ unaweza kumpata mke wa maisha yako.
Wa kwangu mtamkuta kwenye comment, haya ladies on the stage show love kwa kidume kinachoumiza feelings zako
Mimi mwanaume ndio, ila siafiki ushetani huoπ€£Type yake si wewe?? Kwani ww sio mwanaume?? πππ
Jf ni kubwa, atazame wa style yake π€£π€£π€£π€£π€£
Kweli siijui em nitag nifute πππππ
Wana sema jf ina wenyewe πChanganyikeni π
Hapa naona kuna walengwa