nitashukuru kama utakuwa muaminifu, ila naomba hiyo mahari isipitie kwa wazazi ilete kwangu
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA wanaishi Tanga Mamndenyi.
Lady doctor na Arushaone mpaka ukamilifu wa dahari!!
Shemeji aliokua msumbufu huyoo!!
Haya bwana, faudu zako mwayaUnadhani mpaka watu watoe hadharani bado hawajahalalishana? FYI Lady doctor yuko hapa na kanga moko anaandaa dinner. Baridi ya chugga nayo ni kitendawili.
Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita mizengo kayanza pinda kuwa mpumbavu....anaejua aniambie.
ni ghafla my Heaven on earth na hii ni baada ya pacha wangu Passion Lady na Evelyn Salt kuniambia kuwa nimewachosha na waume zao, mchumba kajitokeza ndio huyooooo......
Ila best unaujuzi wa upambaji?
Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita mizengo kayanza pinda kuwa mpumbavu....anaejua aniambie.
Una akili sana shem wangu!
Hii baridi si unajua ilishaleta kibendi eeh? Tukingoja mambo yataharibikia pale altareni!!
amu naona unatapatapa kutaka kujua kwa nini naolewa
kwa msaada zaidi waulize Passion Lady na Evelyn Salt watakupa sababu
Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita pinda kuwa mpumbavu..anaejua aniambie.
na nisipo kufa mwaka huu sijui itakuwaje? Maskini Chimbuvu mzima wewe maake nasikia kidogo ujipeleke mochwari.